Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Huu ni utafiti wangu binafsi nilioufanya kulingana na curiosity nilokuwa nayo kujua hili na lile katika masuala mazima ya udereva na jinsi madereva wanavyoliendesha gari langu kulingana na life style zao.
Nilichogundua ni kwamba wanaume ambao huwa wametumia ule mmea ambao hautajwi jina wana tabia ya kuendesha muda mrefu sana hadi kufika wanakoenda. Na wanakuwa offensive kiasi kwenye ku~handle usukani na mara nyingi wanafika wamechoka sana kiasi kwamba ni mara chache sana huwa wanarudia safari nyingine bila kupumzika kwa muda wa kutosha.
Najua wazoefu mpo humu. Ningetamani kujua sababu ya hii tendancy.