mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ni jinsi nyie wanawake mnavyowachukulia wanaume wahuni wahuni tu hamna lolote
hata sisi tuna story zetu za uongo wa kweli utasikia ya mnene inabana, ya mwembamba haibani... maneno maneno tu ya kuongea tukikosa kazi za kufanya