Babu zako wamevua mikufu !!!!!????
Masikio wameziba na nini au wamekunjia juu!!!????
Morani hawasuki tena??????
Sidai?????!!!!!!
Na kunawanaume wanatetea hapa kwenye huu uzi..mm nlikua nafanya kazi sekta ya afya bongo mjini posta hapo..nlikua nikiona akija mshkaji gentleman na mabrazamen..hata uelewa wa mambo ni tofauti, lkn hata aina ya shida zao ni tofauti..lkn mademu wanawafagilia sana ndo nashangaa..yaani unakuta mtu yupo na mtu anavaa vichupa chupa tu mpaka najiuliza inakuaje..ila ndo ukipita kwenye mitandao hata hapa wanawake wanalalamika wanaime hawawezi kazi na nini..ila unakuta wanadate na wavaa cheni na wavaa hereni
Tyta angetuwekea picha...kwa mfano una kutana na mwanaume kavaa sa nyekundu, pink, sijui blue na wengine siku hizi akivaa saa nyekundu na nguo nyekundu... Hayo mambo ya wanawake bana acheni
Pokea LIKE zangu za dhati dada Mrembo by Nature. Nawashangaa sana wanaume hawa, kama vipi wafanye surgery wawekewe matiti wavae brassier na pia wachongewe viuno vya kike wakavae shanga. Eti watu wanahalalisha upumbavu kwa kisingizio cha USASA! Hata tabia za kishoga zilianza hivi na hatimaye sasa ushoga linaonekana ni jambo la KISASA hapa nchini. Wale mnaotaka usasa kwanini msiingia kwenye ushoga ili muwe wa kisasa zaidi?
Ni kweli Mrembo by Nature...wasichana wengi hawajui mara nyingi watu kama hawa psychologicaly wanakuwa unstable labda pia na low self esteem sasa ili kucompasate ndo inabidi mtu aongezee micheni cheni, mapete nk..na unakuta wengine hata chakula hali vzr hela kaenda kununua mkufu na mipete ya gharama(kwa mwanaume haifai)nawashangaa hawa wanaume wanaotetea huu upumbavu. ukiona mwanaume anafagilia hivi vitu mara nyingi anakuwa na shida flani. nishakuwa na mmoja mpenda cheni sana, mengine alikuwa hafanyi naona alikuwa anaona aibu kulingana na status yake mjini. akijitahidi saaaaana ni viwili tena baada ya kupumzika kama saa mbili hivi.
Ndo maana mm naona watu wanakimbia mzizi wa uzi yaani wanataka sema diamond au hemed phd akivaa hereni au mkufu au saa ya rangi ya pink kwa mfano..labda na kuweka nyele rangi na kupaka lipshin wanaendeleza utamaduni..au wanawaiga singa singa..! Basi bongo vijana tuna serious problem kwenye namna ya kuderive maono yetu ya maisha.!!!Hii ni hoja dhaifu sana--huwezi kufananisha mavazi ya kitamaduni na uvaaji wa hareni na shanga (kiunoni) kwa wanaume. Wamasai na makabaila mengine ya wafugaji wamekuwa wakisuka rasta tangu zama za kale. Huwezi kutumia kigezo hicho dhaifu kuhalalisha ukengeufu wa kuvaa chachandu na hereni kwa wanaume. Mimi swali langu ninalouliza ni kwamba WANAUME HUVAA HERENI, SHANGA NA MIKUFU ILI IWEJE? Je, wasipovaa watakosa nini ambacho wanakifaidi pindi wakivaa vifaa hivi vya KIKE? Swali langu ni rahisi sana--sijui kwanini unarefusha hii mada kwa kuuzunguka mbuyu.
Kuva pete ya dhahabu iliyochongwa herufi ya jina..ili upendeze hii ni hulka ya wanawake..mwanaume kiasili anatakiwa apendeze jinsi alivyo ikianza kuongeza vitu vilivyoo kaa kwa mlengo wa kike zaidi ni kuanza kuvuka mpaka kwenda upande wa pili..lkn pia pete ya ndoa haivaliwi ili upendeze unaivaa kama sign na ni wajbu kuivaa..hata mantiki yake ya kuivaa ni tofauti na mantiki ya kuvaa ili upendeze na km wangine walivyosema ili kuwa sexy..
Sasa mkuu mbona kama unasema jinsi mtoa mada alivyomaanisha..pete ya ndoa ikivaliwa kwenye jamii inajulikana ni ya ndoa na inapewa tafsiri yake..ila mwanaume akivaa mipete huku na huku kama hadija kopa..inabidi kuangalia vzr...mmasai akitoboa maskio inaeleweka kwenye jamii duniani kote...ila diamond au hemedphd akitoboa maskio na kuvaa hereni herebi ili apendeze.. chid benz alitobo na pua kabisa inabidi kuuliza maswali sio kawaida.. Hawawezi wakasema wanadumisha mila...na hapa tusipoelewana basi tena mkuu itakua dah nawasi wasi sasaPete ni pete tu iwe ya ndoa au ya talaka zote ni symbol na hupewa maana na jamii au wahusika tu sio lazima ukisema ya ndoa ndio ionekane ya maana au useme ya rozari sijui ukienda kwa sonara utanunua pete hiyo maana utaweka wewe!!!!!!!
Tunaongelea Afrika hapa hebu nipe mfano wa kabila linalosema watu wakioana wavae pete ya ndoa!!!!!
Hayo ya kupendeza ni social constructionism ndio maana wamakonde walijichora usoni,wamasai wakatoboa masikio, wazungu na latinos wao tatoo sasa hapo unaona kupendeza ilivyo tata?????!!
Hili la kuoendeza tukijaaliwa tuliwekee uzi wake hapa litaua mada hii
Hii ni hoja dhaifu sana--huwezi kufananisha mavazi ya kitamaduni na uvaaji wa hareni na shanga (kiunoni) kwa wanaume. Wamasai na makabaila mengine ya wafugaji wamekuwa wakisuka rasta tangu zama za kale. Huwezi kutumia kigezo hicho dhaifu kuhalalisha ukengeufu wa kuvaa chachandu na hereni kwa wanaume. Mimi swali langu ninalouliza ni kwamba WANAUME HUVAA HERENI, SHANGA NA MIKUFU ILI IWEJE? Je, wasipovaa watakosa nini ambacho wanakifaidi pindi wakivaa vifaa hivi vya KIKE? Swali langu ni rahisi sana--sijui kwanini unarefusha hii mada kwa kuuzunguka mbuyu.
Labda wanawashwa nako 2 nako soldiers na wanahitaji wakunaji!wanaovaa ndo mashoga hata mm nawachukia sana wanaume wanaovaa hereni sijui wanataka wafanyiwe nn???
Sasa mkuu mbona kama unasema jinsi mtoa mada alivyomaanisha..pete ya ndoa ikivaliwa kwenye jamii inajulikana ni ya ndoa na inapewa tafsiri yake..ila mwanaume akivaa mipete huku na huku kama hadija kopa..inabidi kuangalia vzr...mmasai akitoboa maskio inaeleweka kwenye jamii duniani kote...ila diamond au hemedphd akitoboa maskio na kuvaa hereni herebi ili apendeze.. chid benz alitobo na pua kabisa inabidi kuuliza maswali sio kawaida.. Hawawezi wakasema wanadumisha mila...na hapa tusipoelewana basi tena mkuu itakua dah nawasi wasi sasa
Sawa basi hebu vaa hivyo hivyo ukatize mitaa ya Mombasa, Malindi, Pemba na Unguja halafu uone wanaume wasipopakuwa mbolea a.k.a samadi wakikuacha ukichechemea.Niwe mkweli saa yangu mkononi saa nzuri ya 200k au 300k , cheni yangu ya silver nyembamba isiyokua na kidani na visuruali vyangu kadet na vishati vyangu vya kunienea na sio oversize na ichwani nywele zangu fupi na kwenye kidevu hakuna ndevu huku kucha za mikono zikiwa fupi na nina nukia utuli ndo hua navaa halafu leo uhamasishe niache kuvaa cheni?? Whaaaat shit is this
Niwe mkweli saa yangu mkononi saa nzuri ya 200k au 300k , cheni yangu ya silver nyembamba isiyokua na kidani na visuruali vyangu kadet na vishati vyangu vya kunienea na sio oversize na ichwani nywele zangu fupi na kwenye kidevu hakuna ndevu huku kucha za mikono zikiwa fupi na nina nukia utuli ndo hua navaa halafu leo uhamasishe niache kuvaa cheni?? Whaaaat shit is this
Ndo maana mm naona watu wanakimbia mzizi wa uzi yaani wanataka sema diamond au hemed phd akivaa hereni au mkufu au saa ya rangi ya pink kwa mfano..labda na kuweka nyele rangi na kupaka lipshin wanaendeleza utamaduni..au wanawaiga singa singa..! Basi bongo vijana tuna serious problem kwenye namna ya kuderive maono yetu ya maisha.!!!
hahahaha muulize yeye
rais wa Tz ndivyo anavyovaa. Sina uhakika kama ni urembo, bahati, kinga au ni alama tu!..ila mwanaume akivaa mipete huku na huku kama hadija kopa..
pengine hata hao wamasai wanavaa/ wanatoboa kama urembo (kwa sehemu kubwa)....inabidi kuangalia vzr...mmasai akitoboa maskio inaeleweka kwenye jamii duniani kote....
Tyta angetuwekea picha...kwa mfano una kutana na mwanaume kavaa sa nyekundu, pink, sijui blue na wengine siku hizi akivaa saa nyekundu na nguo nyekundu... Hayo mambo ya wanawake bana acheni
Mrembo by Nature hata ww kweli unaweza kutia hoja dhaifu hivi ya kurrelate performance kitandani na uvaaaji wa cheni? Hata siamininawashangaa hawa wanaume wanaotetea huu upumbavu. ukiona mwanaume anafagilia hivi vitu mara nyingi anakuwa na shida flani. nishakuwa na mmoja mpenda cheni sana, mengine alikuwa hafanyi naona alikuwa anaona aibu kulingana na status yake mjini. akijitahidi saaaaana ni viwili tena baada ya kupumzika kama saa mbili hivi.