Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?


na ndio maana nimekuambia kwamba mimi sijakuzuia kuvaa ila huwezi kunifunga mdomo kusema ukweli. umesema kitu kikiandikwa 'FOR MEN' kinakuwa halali kwa wanaume. hata mashoga hugawa 0715 kwa wanaume wenzao na 0715 zao zimeandikwa 'FOR MEN'. endeleeni na huo ukengeufu wenu mnaouita USASA ili muwe watu mnaenda na wakati. hakuna mtu aliyewazuia ila msitufunge midomo kukemea ufirauni huo.
 
Kwa swala la heren nakuunga mkono ila kwa cheni na saa,hapana hapo uko peke yako....moja kati ya cfa kuu ya gentlemen ni kukeep time,sasa utakeep vipi time kama huna saa??
Fikiria tena mkuu

mkuu, umeninukuu vibaya. kuvaa saa sio tatizo ila nimesema kwamba kwa jinsi nisivyopenda hivyo vifaa vya KIKE hata nikivaa saa nahisi nimevaa bangili. kwanza saa zimepitwa na wakati labda kama unavaa kama pambo tu. kwani simu yako haina saa mpaka uvae saa ya mkononi ili 'kukeep time' (kwa msemo wako)?
 

Nilijua tu utakimbilia kwenye ushoga na ndio maana nikasema akili yangu haihusiani na mawazo yako maovu uliyonayo, kuvaa cheni haileti ushoga... na wapo mashoga wengi hata cheni hawavai... ushoga ni tabia ya mtu haiwi defined na kuvaa cheni... na hata nivae cheni miaka hadi nakufa haitonifanya niwe shoga.... Wearing gold or silver on your skin doesn't do harm to the skin unless mtu ana allergy, hata science haibishi hilo
 

Yaani kwa wakati wote nilipokuwa na soma comment nilikuwa na like tu ila nilipoiona hii ya kwako ikanibidi ni bofye ku like tu bali nitie neno, kwanza kabisa big up kwa mleta maada huyu jamaa yuko focused na ni jasiri keep it up,

Najua wengi mnasubiri kuona maelezo ya hii topic ila chakushangaza kiukweli ninajua ila siezi kuelezea ni mada ndefu mno ambayo nikiifungua haito isha maana nitatakiwa kuifafanua ki geology kwanza ili tufahamu hivi vito na kazi zake, tuiangalie ki chemistry na tuangalie its effects on biological sides into mens, pia niiongelee kisaikolojia esp ktk mambo ya psychopath and behaviourial effects, pia ielezewe ki sociologia ambapo hapo uta base katika perspectives za kiutamaduni na blvs mambo ya anthropology hayo

Kwa ufupi uki cover yote hayo utaziona hizo mambo ziko circle na maajabu from its production mpaka kwa end users:

Hizi mambo pia zinahusishwa na un identified power, kama wanavyo fanya shaman na baadhi ya watawala

Usia wangu kwa wavaaji , please plz fanyeni kitu kwa kukijua na sio kuiga kwani unaeza kuwa slave wakitu bila kujijua

Next time nitajitahidi kukusanya data niandae makala ya hii kitu

Asanteni sana
 


Mkuu wapo wanaovaa shanga na bikini na sio mashoga,dunia imekwisha
 

Comrade, your arguement is too vague. Sijsema kuvaa hereni ni ushoga au kunachangia ushoga. Nimesema ikiwa kuvaa cheni ni USASA unaokubalika basi kubalini kwamba hata ushoga ni USASA. Kwanini mnabagua baadhi ya usasa wakati mnataka KWENDA NA WAKATI? Si nyie ni madodoki? Halalisheni kila uchafu ilimradi uwe wa kisasa.
 
Usia wangu kwa wavaaji , please plz fanyeni kitu kwa kukijua na sio kuiga kwani unaeza kuwa slave wakitu bila kujijua

Next time nitajitahidi kukusanya data niandae makala ya hii kitu

Asanteni sana
Mkuu kwanza nashukuru kwa maelezo yako lkn hapo nilipobold ndo penye kiini hasa cha mjadala huu kwamba pengine wavaaji hawajui wao wanachukulia kama fasheni tu. Nakumbuka mengi yaliwahi kuelezwa juu ya cheni za miguuuni n.k kwa kupitia maelezo ya wanajamii mbali mbali kuna walio elewa na kuendelea kuvaa cheni hizo au wengine waliacha kuvaa cheni hizo. Sasa rai yangu kwa wadau naomba tujadili chanzo na sababu za huu uvaaji wa hereni kwa wanaume ili nasi tusiojua tujue kwani huenda tunahukumu bure au tunatetea pasipo kujua.

Asanteni sana.
 
watu wanatetea ushoga hapa..simply anayevaa hivyo ni mwanamke(inawezekana akawa kifikra,au kivitendo kabisa),eti uwe mrembo halafuuu???????
 

Mkuu, nakushukuru kwa kunyoosha mjadala.Na hiki hasa ndio kiini cha mjadala huu. Je mwanaume anayevaa hereni na mkufu anavaa ili iweje? Hili swali likijibiwa, bila shaka jibu la mjadala huu litakuwa limepatikana.

Kwa bahati mbaya sana, watetezi wa huu ukengeufu bado hawajatoa majibu yenye mashiko zaidi ya kutoa majibu ya ovyoovyo-kwamba, ooh wanaume wanavaa cheni na hereni ili waonekane SEXY! Sexy kwa nani na ili iweje? Wanawake wawe sexy na wanaume pia? Hapana. Hii haikubaliki hata kidogo.

Pia wapo baadhi wanaodai kwamba wanavaa hereni kwa kuwa designers wanakuwa wameziandika "for men". Na wamewasifu hao designers kwamba wana akili sana kwa kuwa wanawasaidia kutambua cheni zipi ni za kike na zipi ni za kiume!!!!! Hili ni jibu la kitoto na kijuha! Hawa ndio wale wanaoshikiwa akili-hata wakikuta sidiria imeandikwa "for men" watainunua na kuivaa! Watumwa wa mawazo na utu!

But, all in all, kifaa chochote cha kuvaa shingoni au masikioni, hivi vyote ni VIFAA VYA KIKE! Haijalishi kimeandika "for men" au "for women". Ikiwa kuna mtu atakubali kuvaa upuuzi wa namna hiyo, eti kwa kuwa kuna za kiume na za kike, basi ujue akili zake ni za kushikiwa-mtu wa namna hiyo, akirudi nyumbani akute mama yake amevaa gauni la mke wake, basi atamgeuza kuwa mkewe-kisa tu kavaa gauni la mkewe!!!! Hizi ni akili za kumbikumbi na konokono!!!!!!!!!!
 
Hayo ni mapambo ya kike mkuu.. mbona mnatetea vitu vya kike hivyo hamoni aibu..watu wengine vipi niyinyi..unavaa mkufu mwanaume ili nini sasa kwani ukivafresh nguo zinakutosha fresh utapungukiwa nini mpaka uongeze vikorobwezo vya kike..!?
 
Ndo maana kuna mtu akasema ni vizuri mtu akivaa kitu anjue chanzo chake nk ..sio kwa kua umeona pdidy au diamond kavaa basi unadhani ni sawa na sio kwa hereni hata tshirt unakuta mwanaume kavaa t shirt imeandikwa im sexy yakazi gani...naona pia wanaume wengi wanaotetea hereni na mikifu..hili neno sexy yaani mtoko wa kimahaba wanatumia ndivyo sivyo...labda wakilisema kiswahili ndo wataelewa ...mtoko wa kimahaba..
 
wanatka wawe smart, na wengine huwaga wanajichubua ili waonekane wako mabro wa ukweli sijui kwanini wanafanya hivyo mm huwaga siwaelewi
 
Tuseme na Benjamin mkapa ni shoga? Maana anavaa cheni au amepungukiwa maadili! Vp wanaume wa kimasai kuvaa hereni nao ni mashoga? Navaa cheni kwa mapenzi yangu ila sivai hereni lakini sio tabu mtu akivaa hereni pia. Tabia ya mtu haina mahusiano na muonekano kabisa, usichopenda wewe haina maana ni dhambi/hakifai kwa mtu mwingine! Kuna watu wanavaa masuti na tai daily lakini ni wa.fi.ra.ji na wengine wa.se.nge! Be yourself and love yourself that's all matter.
 
Wanaovaa heleni wanataka mpododo
 

Ukivaa cheni usisahau kata k*ndu.kama bado ww co shoga basi unajishogaiz.
Hata m`buyu ulianza na mbegu
 
Ukivaa cheni usisahau kata k*ndu.kama bado ww co shoga basi unajishogaiz.
Hata m`buyu ulianza na mbegu

Huo ni mtazamo wako.. Haiwezi kupunguza au kuongeza kitu chochote kwenye maisha yangu! Who the hell are you tell me how to live my life? Mind ur own damn bussiness. We are living in civilized world.. Vinginevyo kajiunge na boko haram.
 
Ukisikia uwiiiii....Ujue jiwe limempata...Sasa mada ya mleta uzi ni jiwe liliokupata gizani..

Wacha kuvaa hayo macheni na mahereni...

Na wakisifiwa wataongeza pete kubwa kubwa;bangili;wanja;lips stick; mwishowe wanakuwa washindan wa wanawake.Wanaanza kupakatwa kwa kufikiri wanawake wanafaidi sana.....poa waarabu wanawasubiri endelea kujipodoa isitoshe malinda ni yako.
 
People need to understand that people are different, why should a guy wearing a necklace make him irresponsible?!

It's his personal life style and choice, his moral standards allows him to wear it, so nobody business. If their minds don't tackle them, who are we to complain??

People need to learn how to be liberal with others responsibilities, Never use ur own morals to judge others, by the way who says it is only women that need adornment?!

I'mma put on a nice boot-cut jeans, tops big boy T-shirt and a Necklace, jumps into sneakers and sprays a sweet perfume, time to go, hate it or love it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…