tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #121
Akili ninayo kukuzidi hilo wala halihusiani na kuvaa cheni wala kitu kuandikwa for men au women... Na ndio maana designers wana akili kutokuweka neno "for men" kwenye skirt na ni kitu hakitotokea sababu wanajua its not for men... Mbona unajaribu kulazimisha negativity... what exactly do u want to prove? kama kitu kinakuboa potezea hujalazimishwa kuvaa cheni... kila mtu ana maana yake anavovaa kitu, sawa na pete, mbona same materials hutengeneza pete hutengeneza cheni, sasa labda unambie hadi pete hutaki labda ntakuelewa...
na ndio maana nimekuambia kwamba mimi sijakuzuia kuvaa ila huwezi kunifunga mdomo kusema ukweli. umesema kitu kikiandikwa 'FOR MEN' kinakuwa halali kwa wanaume. hata mashoga hugawa 0715 kwa wanaume wenzao na 0715 zao zimeandikwa 'FOR MEN'. endeleeni na huo ukengeufu wenu mnaouita USASA ili muwe watu mnaenda na wakati. hakuna mtu aliyewazuia ila msitufunge midomo kukemea ufirauni huo.