Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Nadhani tunajua mtoa mada kamaanisha mipete gani, herini na cheni zipi..?!
 
Cheni na hereni maamuzi ya mtu. Wengine hapa ushamba unawasumbua
Kwa hiyo kuvaa hereni na mibangili kwa wanaume ni ujanja si ushamba..ndo maana mtoa uzi anasema itafika kipindi..kuwa chakla ndo itakuwa ujanja sasa
 
Babu zako wamevua mikufu !!!!!????
Masikio wameziba na nini au wamekunjia juu!!!????
Morani hawasuki tena??????

Sidai?????!!!!!!

nolaka totire muresi

kusema ukweli my mpenzi wangu ni avae cheni
loooh it kill me ooow

ila hata hereni sio mbaya kama akipenda
 
cheni nakubali mtoto wa kiume haifai,ila saa sikubaliani na wew,pete pia kwa misingi ambayo nimelelewa nayo mim ni ruksa kuvaa ila ya SILVER tu si ya DHAHABU,alafu kuwa rafu siyo sifa ili uonekane mwanaume sana ila ni kutojielewa na kushindwa kusimamia mambo yako,mwanaume timamu lazima uwe nadhifu LAKiNI USIPITILIZE au kukithirisha.
 
Kuna tamaduni za asili baadhi ya makabila: Wanaume kutoboa masikio,kuvaa hereni,shanga shingoni na miguuni.Ila wengi wanaovaa hivyo ni wacheza ngoma,wako nadhifu.Kwa sasa hatuna utambulisho wa kitaifa katika mavazi na urembo.Wizara husika wamelala.
 
Mimi sijui zaidi ya hizi ninqzozijua na kuziona..unless kama unazofaham more specifically.

Naomba kutambua objectivity ya michango ya Ablessed OLESAIDIMU (bora umerudi) sokwe na wengineo
Vitu vingine vipo wazi sana..mipete ya rangi rangi(wengine wanavaa mikono yote miwili), hereni , na chain kama mwanamke..
 
Tyta angetuwekea picha...kwa mfano una kutana na mwanaume kavaa sa nyekundu, pink, sijui blue na wengine siku hizi akivaa saa nyekundu na nguo nyekundu... Hayo mambo ya wanawake bana acheni
 
Huna hoja naona unaleta vioja mkuu, you're very narrow minded and stereotype.
Hoja sina mimi au wewe sasa..kwa sababu mnajidai hamjui mtoa mada kamaanisha nini ndo tunauliza hayo maswali..hizo habari za babu zetu haziipo kwenye root ya uzi wa jamaa..mnaelewa kabisa kamaanisha cheni zipi, hereni zipi na mapambo gani ya kike..na ni aibu kujustfy kwa kutumia mababu zetu..ni aibu sana
 
I think u know mtoa uzi kamaanisha nini..huko kwenye singa na nini tuache hizo visingizio...najua kabisa unajua kamaanisha nini..?

Ndio maana nikakuambia on popular culture na cultural diffusion inapotokea jamii zinaa sehemu moja tegemea mbadilishano wa maadili,tabia,mavazi,vyakula na hata lugha achilia mbali masuala ya kiimani sasa suala la kusema hiki ni cha kike au la ni gumu sana isipokuwa yale yanayokatazwa na jamii nyingi na kiimani pia haya tunakubaliana kuwa hayafai mfano tabia za kishoga na kusagana ni mambo yanayopingwa kijamii na kiimani pia!!!!!!

Cultural flexibility ni matokeo ya globalization sasa cultural assimilation huwezi pingana nayo mkuu much as haina madhara kwa jamii ya leo na kizazi kijacho pia!!!!!

Hivi mtu kuvaa pete au mkufu kuna madhara gani kwa mfano? ????!!!!!

Hebu twende deep zaid kwenye symbolic interactionism theory ambapo tunaambiwa binadamu huvipa vitu maana sababu ana akili na utashi zaidi ya mnyama na maana hizo hubadilika kadiri wanavyowasiliana na kukubaliana juu ya mawasiliano na maana husika! !!!!!

Hapa ni kuwa maisha ya jamii au kundi fulani huwa na maana kwa wao tu na sio lazima wewe wa nje usiye na nasaba na kundi husika uelewe na kupata maana sawa na wao wahusika!!!!!!!

Hivi umewahi kujiuliza kwa nini kuvaa rozari ni sawa ila katika kundi hilo wengine wanaona mkufu si sawa????!!!!!!!

Pamoja na rangi kuwa nyeupe kwa nini mavazi ya ibada ya wakristo na waislamu hushonwa
mishono tofauti!!!!!!??????

Mkuu suala sio yeye kamaanisha nini au mimi naelewa nini ila ni suala la validity ya argument hapa jukwaani
 
Vitu vingine vipo wazi sana..mipete ya rangi rangi(wengine wanavaa mikono yote miwili), hereni , na chain kama mwanamke..

Mkuu kama hoja ina categorical/cluster analysis basi bora tangu mwanzo ingewekewa premise za types,extent,designs,colours,gemstones and the likes!!!!!

Lakini it is an open ended topic sasa kuanza kudhani kuwa lililo wazi kwako liko wazi kwa mwingine pia sio sawa sana...

Hebu twende sawa sawa kwa mfano mtu kavaa pete ya dhahabu juu imechongwa nanga au herufi ya jina lake na kaivaa kidole cha kati mkono wa kushoto ina taabu gani na uanaume wake????!!!
 
Na huyu anajiita mwanaume eti madai yake hiyo tite na viatu kavinunua duka la kiume south africa.

Hao ndio walewale...eti wanasema wanaenda na wakati...hatimaye watakuja kutupia sidiria, gauni, sketi na SHANGA ili waende na wakati vizuri zaidi.


 
Kuva pete ya dhahabu iliyochongwa herufi ya jina..ili upendeze hii ni hulka ya wanawake..mwanaume kiasili anatakiwa apendeze jinsi alivyo ikianza kuongeza vitu vilivyoo kaa kwa mlengo wa kike zaidi ni kuanza kuvuka mpaka kwenda upande wa pili..lkn pia pete ya ndoa haivaliwi ili upendeze unaivaa kama sign na ni wajbu kuivaa..hata mantiki yake ya kuivaa ni tofauti na mantiki ya kuvaa ili upendeze na km wangine walivyosema ili kuwa sexy..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…