Wanaume wanaovaa Saa za mkononi huwa hazisomi majira

Wanaume wanaovaa Saa za mkononi huwa hazisomi majira

Mapambo tuu, Mwenyewe yangu hata ikiisha betri sijui pa kuanzia
 
hakika umesema na utafiti wako ni waukweli kabisa
saa huwakilisha umakini na kujielewa kwa mwanaume....ukiona hivyo ni utoto unawasumbua..wazungu wanasema you can judge a man by a watch he posses
 
saa huwakilisha umakini na kujielewa kwa mwanaume....ukiona hivyo ni utoto unawasumbua..wazungu wanasema you can judge a man by a watch he posses
tena mwingine saa yake haina mishale yote😀😀😀😀😀😀😀
 
umesahau na wanawake wanaobeba wallet kubwa lkn ndani hakuna hela...zimejaa dressing table..
 
Mhhh ukweli mtupu wewe ni zaidi wa wale watafiti wa mwaka Jana!
 
Back
Top Bottom