Wanaume wanaovaa Saa za mkononi huwa hazisomi majira

Wanaume wanaovaa Saa za mkononi huwa hazisomi majira

Habari zenu,nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira.sasa hii INA umuhimu wani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati kumbe SAA kopo?mnatia aibu jamani
Bora hata za kwetu wanaume hazisomi majira, za kwenu ndio nyingi mbovu haziendi kabisa, na yakwangu seico 5 ya uridhi niki lala nayo ina lala [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nini hasa lilikuwa kengo la utafiti wako? Nani kagharimia utafiti huo? Na je siyo kweli kuwa unatumiwa na mataifa ya nje kuleta uchochezi hasa wakati huu ambao tumewadhurumu waathirika wa tetemeko la Kagera misaada waliyochangiwa?
Hamna mkuu
 
Hata na mabeg ya mgongoni wengine tunawekaga deki mkijua laptop.
 
Utafiti umechukua nafasi yake uje ufanye utafiti hata huku kijijini maana wote mnafanyia utafiti mjini tu
 
kwani we saa ikiwa haisomi majira inakudhuru nini? kazi kufuatilia maisha ya watu
 
kuna jamaa angu niligundua anaweka sox kwenye wallet akiweka mfukoni itune
 
Wanawake ndo balaa wao utawaona wamevaa hata saa ya bei mbaya halafu cheki kwenye majira ndo utachoka.
 
Back
Top Bottom