Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Leo nilikua nimekaa kwenye Cafe flani nikasikia mazungumzo ya watu nyuma yangu wanabishana kuhusu malipo na mishahara ya watumishi wa serikali kati ya wanawake na wanaume.
Kwamba wanaume wanapaswa kulipwa zaidi ya wanawake kwa sababu ya expectations za jamii zetu na familia juu yao ni kubwa na wana majukumu mengi zaidi ya wanawake. Mmoja alikua nasema viwango vya mishahara visiwe sawa hata kama mwanamke anafanya kazi sawa na colleague wake ambaye ni mwanaume.
Je unakubaliana na hicho walichokua wanasema?