Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu hatimaye leo nathubutu kusema kuwa sisi wanaume tuna sura nzuri kuliko wanawake.

Ukitaka kuthibitisha hilo, wanaume huwa hatuna mambo mengi tukitaka kutoka unapakaa mafuta yako ya mgando unachana nywele zako chapu chapu umemaliza.

Hatuchukui zaidi ya dak 45 kujiandaa

Lakini kwa wanawake wanachukua zaidi ya masaa matatu kupaka ma make up ya kufa mtu ili abadilike kwa kuwa wengi wao wakitoka bila make up huwa hawavutii kabisa.

Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake ni kitendo cha kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Yani wanawake 10 wanatafuta nafasi ya kuolewa na mtu mmoja na kati ya hao wanne tu ndo wanachaguliwa.

Lakini kutokana na wazungu kuwa washenzi wamebadilisha hii kitu.

Eti leo hii wanaume ndo tunawahangaikia wanawake badala ya wao kutugombania sisi.
 
“Kingine kinachothibitisha kuwa sisi ni wazuri zaidi ya wanawake”, WE JAMAA MZIMA KWELI? nime koti hicho kipande hapo siamini kama ni mwanaume ameandika haya
 
basi kama ni hivyo ngoja tusubir wenzako waje wathibitshe!
 
mi nilivocomment kule kwenye post ya kufanyiwa excel mmeona uongo???huyu ni dume na jamaa haelewek mada zake ye ilimradi anataka like na comment...
mkuu mimi ndio dume ila nimetumia avatar ya mke wangu shunie
 
mi nilivocomment kule kwenye post ya kufanyiwa excel mmeona uongo???huyu ni dume na jamaa haelewek mada zake ye ilimradi anataka like na comment...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom