Wanaume wanasura nzuri kuliko wanawake

Mh!hili nalo jipu jipya haya basi we ni Mzuri kuliko mama ako.
 
Wewe utakuwa ni mwanaume wa Dar!
 
Mkuu unataka kusema kwa uzuri wako huo, dada yako akiachika unaweza olewa wewe?
 
Ni kwa sababu sie wanaume tuko natural, wanawake walio wengi yaani Zaidi ya 90% wako fake. Kucha za bandia, nywele za marehemu, makalio ya wachina, yaani full vituko kisha watakuambia wanataka mwanamme ambaye yuko real wakati wao wako fake. Talk about nyani haoni kundule. Mixuuuu, pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…