FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Ngoja nikuache kwanza.
Nakupigia shortly unambie kuhusu hiyo bold hapo... Pokea simu.
Nipigie mwaya sauti yako ni tamu kama asali nitashiba:redfaces:
Mie niliwahi kudanganywa jamaa halijaoa kumbe limeacha mke wa ndoa na na watoto wawili kijijini likakaa mjini kwa muda wote bila mawasiliano na wife wake.
Likanivika na engagement ring kudadadeki haya majamaa yana roho za chuma cha pua.
Ndo maana uncle wangu alinambia asilimia 60 za kwake 40 za kwako ila bado naona kama 40 ziwe zake 60 zangu:redfaces::redfaces:
Pole sana....kwa hiyo huyu wa sasa zake 40% tu?Mie niliwahi kudanganywa jamaa halijaoa kumbe limeacha mke wa ndoa na na watoto wawili kijijini likakaa mjini kwa muda wote bila mawasiliano na wife wake.
Likanivika na engagement ring kudadadeki haya majamaa yana roho za chuma cha pua.
Ndo maana uncle wangu alinambia asilimia 60 za kwake 40 za kwako ila bado naona kama 40 ziwe zake 60 zangu:redfaces::redfaces:
Pole mwaya ndo viumbe hawa walivyo mie niliacha kwa matangazo mpaka likaona aibu nakwambia nikaenda hadi kwa mkewe eti lilishaenda na kwetu kutoa barua jamani mijanaume hiii mi akina Asprin mie naichukia bora yote ife tu tubaki wenyewe humu duniani ahhh
Yeye ajua anachokitafuta... wewe hujui unachokitafuta...Unauvaa tu!!hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
nashindwa kuelewa mioyo ya baadhi ya kinababa ikoje.kama mazimwi.
Pole sana....kwa hiyo huyu wa sasa zake 40% tu?
Mbona hupokei sasa?
Umeniua kabisa hapo
fufuka kwa jina la yesu.
Cheusie darling anayefufua ni yesu au Yesu?
Haya tubu dhambi zako kabla sijakushtaki kwa Ziraili mtoa roho.
shkang babu.
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
Nina shaka na msimamo wakoPole kwa kuumizwa
Ila siyo wote, pia inategemea na wewe ulimwonyesha katabia gani mpaka akakuona apite tu basi
Dawa ni moja tu, kabla hajakupiga kibuti muwahi yy kwanza, na kama ikitokea ukachelewa siku tu akikwambia basi mwambie hata hivyo na shukuru umenisaidia kuanza kusema na mimi ndio nilikua nafikiria nitakuanzaje, habari ndio hiyooooo.