Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mie naona kama Mngiki vile
Afu we mbona nakupigia simu hupokei?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie naona kama Mngiki vile
Afu we mbona nakupigia simu hupokei?
Sory dear ndo nilikuwa Toi**** niliacha simu chumbani. Nimeona missed call yako piga tena basi au nikupigie???
ila wapo maepert wa kudanganya jamani,yaani hata wkt wakukufatilia wengine wanaweza kujifanya wamepata homa kisa hujapokea simu yake,kuna mkaka mmoja jamani ni shetani wkt ananifatilia alinambia eti mie kuongea na tabia zangu zinafanana na marehemu mama yake na hivyo akasema nikikubali anioe atanitunza na kuniheshimu kama alivyomuheshimu marehemu mama yake,na alikua akiongea wa hisia mtu ungeweza kumuamini,story ni ndefu kidogo lkn nilikuja gundua kumbe hilo likaka ni lifataki lililooa na lina mtoto,yaani nililidharau japo halikufanikiwa 'kunirubuni'.kwa kweli mwanamume muaminifu ni kwa maombi lkn wengi wao ni wadanganyifu sana.
ngumu sana kutofautisha anayekufuata kwa tamaa na kwa mapenzi ya dhati kwani sisi wanaume njia yetu ya kutongoza ni moja na kanuni ni zile zile iwe umependa kweli au umetamani kuonja na kukimbiawamenitongoza wengi tu
nimewakubalia wachache
kubwagwa kati ya wote ni mmoja tu aliefanikiwa wengine huwa nawawahi
sina anaetegemea kunimwaga cause wengi wanaokuja sasa ni wanaonekana kabisa ni tamaa ya kimwili inayowaleta na c mapenzi
Pole sana Cheusie my darling.....Kwa hiyo mlitumia kondom si eti eh?
Na wewe muone huko na kapicha kako
Mbona mi sikupigi mkwala na nywele zako?
Umemwagwa?hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
hahaahaha Kwa nini unamchimba mwenzio Biti ati alitumia condom wakati kishakwambia hadanganyiki?
Pole sana Cheusie my darling.....Kwa hiyo mlitumia kondom si eti eh?
babu hata weye washindwa kuniamini,umenilea na kunifundisha kwa theory na practic jinsi ya kuvikwepa vihunzi leo hii washindwa kuniamini.?
kwa kifupi babu,ni kwamba kimoyo alifanikiwa kuniramba kidogo lkn kama unavyonijua mjukuu wako huwa nafanya 'research' kwanza kabla ya'kibaba na kimamaa'.HATA HIVYO BABU BADO NAAMINI KTK 'TENDO LA NDOANI',hivyo babu acha kuvuta ugoro kwa hasira ,ukidhani dunia imenipoteza,sijagawa tunda.
(ila kusema ukweli babu alinivutia kidogo nimlete kumtambulisha kwako).
kwahiyo unataka kuiambia jf kuwa jamaa hakugusa hata paja
Siku utakapomleta uhakikishe mkongojo wangu uko karibu. swa eh mama?
Hongera kwa kumyima tunda huyo mme wa mtu. Sasa nani analifaidi, mbona babu hana taarifa?(Angalia lisijeziba mjukuu wangu)
Nibeep nikupigie. Afu urudi kule kumsaidia mwenzio namna ya kufanya kikojoleo chake kisitoe miharufu wakati wa chakula cha usiku....mwenzie hapendi eti.......
hapo kwa RED, Cheusi wangu naona kama hujakuwa muwazi vile?kugundua hayo yote kuwa ni yeye ni fataki, ameshaoa na ana watoto, si kazi ya siku mbili hiyo!Ni lazima atakuwa amesharekebisha mara kadhaa na ndipo alipojisahau na wewe ukagundua uwongo wake!lakini kwake yeye, mission imekuwa achieved! ISITOSHE BILA HIZO MBWEMBWE ZOTE NA LUGHA HIYO NZURI WEWE UNGEMPA HUO UTAMU WAKO?
hehee babu unanitega niseme halafu tukirudi home unichape,na sisemi kitu.au niseme,aah sisemi.
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
ndio and ndio again,hajagusa.
kila mwanamke si maharage ya mbeya mpendwa wangu,kwamba unamwimbisha leo mwezi ujao unakula tunda! wengine lazima utufanyie shughuli kidogo ndio utupate,japo kuna mifataki isiyo ona hatari kukufuatilia hata mwaka mzima lkn hata mie ukinifuatilia hivyo hlf nikajua ulikua unapoteza muda wako wote huo ili tu unirubun wala sitajichukia nitakuoenea huruma tu nikijua hauko sawa.