wanaume,wanaume,mmmh!!!

Sory dear ndo nilikuwa Toi**** niliacha simu chumbani. Nimeona missed call yako piga tena basi au nikupigie???

Nibeep nikupigie. Afu urudi kule kumsaidia mwenzio namna ya kufanya kikojoleo chake kisitoe miharufu wakati wa chakula cha usiku....mwenzie hapendi eti.......
 

kwahiyo unataka kuiambia jf kuwa jamaa hakugusa hata paja
 
wamenitongoza wengi tu
nimewakubalia wachache
kubwagwa kati ya wote ni mmoja tu aliefanikiwa wengine huwa nawawahi
sina anaetegemea kunimwaga cause wengi wanaokuja sasa ni wanaonekana kabisa ni tamaa ya kimwili inayowaleta na c mapenzi
ngumu sana kutofautisha anayekufuata kwa tamaa na kwa mapenzi ya dhati kwani sisi wanaume njia yetu ya kutongoza ni moja na kanuni ni zile zile iwe umependa kweli au umetamani kuonja na kukimbia
 
Umemwagwa?
 
Pole sana Cheusie my darling.....Kwa hiyo mlitumia kondom si eti eh?

babu hata weye washindwa kuniamini,umenilea na kunifundisha kwa theory na practic jinsi ya kuvikwepa vihunzi leo hii washindwa kuniamini.?
kwa kifupi babu,ni kwamba kimoyo alifanikiwa kuniramba kidogo lkn kama unavyonijua mjukuu wako huwa nafanya 'research' kwanza kabla ya'kibaba na kimamaa'.HATA HIVYO BABU BADO NAAMINI KTK 'TENDO LA NDOANI',hivyo babu acha kuvuta ugoro kwa hasira ,ukidhani dunia imenipoteza,sijagawa tunda.
(ila kusema ukweli babu alinivutia kidogo nimlete kumtambulisha kwako).
 

Siku utakapomleta uhakikishe mkongojo wangu uko karibu. swa eh mama?

Hongera kwa kumyima tunda huyo mme wa mtu. Sasa nani analifaidi, mbona babu hana taarifa?(Angalia lisijeziba mjukuu wangu)
 
kwahiyo unataka kuiambia jf kuwa jamaa hakugusa hata paja

ndio and ndio again,hajagusa.
kila mwanamke si maharage ya mbeya mpendwa wangu,kwamba unamwimbisha leo mwezi ujao unakula tunda! wengine lazima utufanyie shughuli kidogo ndio utupate,japo kuna mifataki isiyo ona hatari kukufuatilia hata mwaka mzima lkn hata mie ukinifuatilia hivyo hlf nikajua ulikua unapoteza muda wako wote huo ili tu unirubun wala sitajichukia nitakuoenea huruma tu nikijua hauko sawa.
 
Siku utakapomleta uhakikishe mkongojo wangu uko karibu. swa eh mama?

Hongera kwa kumyima tunda huyo mme wa mtu. Sasa nani analifaidi, mbona babu hana taarifa?(Angalia lisijeziba mjukuu wangu)

hehee babu unanitega niseme halafu tukirudi home unichape,na sisemi kitu.au niseme,aah sisemi.
 
Nibeep nikupigie. Afu urudi kule kumsaidia mwenzio namna ya kufanya kikojoleo chake kisitoe miharufu wakati wa chakula cha usiku....mwenzie hapendi eti.......

Mbona hupokei sasa? Kuna watoto wameingia huko nimekimbia naangali mawaziri wetu wapya
 

hamna kitu kama hicho bacha,haku-achieve alilotaka.
 
hehee babu unanitega niseme halafu tukirudi home unichape,na sisemi kitu.au niseme,aah sisemi.

Babu hawezi chapa mjukuu bana, kwanza mkongojo wangu sijui uko wapi. Hebu nifanyie mpango wa mwingine na ugoro kidogo.......
 
unajua we MWASU Wanawake wanaamini sana uongo, ukimwambia ukweli humpati kabisa ndio atazidi kukudharau lakini wewe huyohuyo ukimwambia binti yuleyule uongo anabadilika na kuamini kabisa na hasa ukichanganya mambo ya zawadi za kike kike ndo unammaliza kabisa na kukuta kitu mwake mwake, lakini siufagilii sana uongo kwa sababu siupendi na nikifuatlia nasema ukweli akikubali sawa akikataa ukweli wangu mwisho wa siku namuona ana mwingine nikifuatilia jinsi alivyompata nagundua amembiwa uongo na baadae wanaachana tena kwa dharau ! sishangai nyie kudanganywa maana ndio mnapenda.
 

Mwasu hebu tueleze kwanza ni yapi yaliyokukuta
 

Cheusi haya banaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…