Maisha magumu sana,hadi Akili zinatoka watu!Yani mi nikisikia mwanaume anasema Oktoba Tunatiki naanza kuwa na mashaka naye π³οΈβπ
View attachment 3442374
Sio tlaahtlaah!Kwa wasiomjua huyo ndio Lucas Mwashambwa
Mbona kwangu video inagoma kufunguka, kwako imefunguka?Maisha magumu sana,hadi Akili zinatoka watu!
Shukrani sasa nimemuona Lucas Mwashambwa ππUkitaka kumjua Lucas Mwashambwa ndio huyu
View attachment 3442403