Wanaume/Wanawake naombeni ushauri kwa huyu bestito wangu Chokonoa chokonoa yake imemcost...

Wanaume/Wanawake naombeni ushauri kwa huyu bestito wangu Chokonoa chokonoa yake imemcost...

i see......
Hii Ililetwa mwezi uliopita kwenye group moja la wanawake huko facebook.....
HIzi story za kuzunguka hizi.....
 
Mbinu zangu zinatishaaaaa. Ntaku PM; nikiziweka humu na wezi nao watazinyaka. Si unajua tena...kama hii haita work effectively kwani wiki leaks wameshailikisha.


Nyumba kubwa nakubaliana na wewe hizi nyuzi zinafundisha kweli,sasaaaa kama wewe utatumia hii mbinu naomba basi utumegee hayo maujuzi yako mengine ya kiFBI tushee.Nashangaa wengine wanavyosema ni tabia mbaya kumlinda mume wako..Nilipata mshtuko wa ghafla ila sitaacha kumlinda na kumchunguza hilo analijua.
 
Back
Top Bottom