Aunty nitakupa keki plz mchukueni tu, anachafua reputation ya mkoani.Hapana auntie tulionao wanatutosha ebu angalia le kokobanga ndio anaongoza list kuna wengine hapo pasua kichwa sana hatutaki tena watu wa ajabu
Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee hyo kulambwa mstari ndio siitaki kabisa
Wa nje ya nchi Mkuu ndo unatutenga daah au kisa Mi nakaa Malawi fresh tu mkuu[emoji26] [emoji3] [emoji12]Nataja majembe ya mikoani yaliyotukuta wengine mtawataja na mtajitaja ,,nani anaefaa kuwa mwenyekiti na katibu wake
Wanaume wa mkoani wanasifika kwa vitu vingi hasa nguvu nyingi za sehemu zote ,kila idara ,hata sasa ukiangalia nchi inaongozwa na watu wa mikoani
Haya sasa kwa humu jf nani anafaa kuwa mwenyekiti kati ya hawa
Wanaume wa mikoani na wanawake pia
1:Behaviourist
2😀eo Nalimi Kisandu
3:Kiwatengu
4:Kaizer
5:Quigley
6😀aby
7:Mshipa
8:Mbalizi1
9:Mndali ndanyelakakomu
10:
Wengine tajeni niwaongeze kwenye list
Wanaume wa dar wakiongozwa na baba lao 1:Le mutuzi
2:Gudume
3:Nyani Ngabu
4:Makaveli1
5:Nokia83
6:Vladmir putin
7:RRONDO
8:Billie
9:Ontario
10:Asprin
11:Smart911
Wanawake wa Mkoani
1😀inazarde
2:evelyn salt
3:honey faith
4:espy
5:Mbitiyaza
6😀emmis
7:Kapeace
8😀emi
9:Neybright
10:Sakayo
11:Emmyta
12:Moneytalk
Ongezeni majina nitayaweka pia
Wanawake wa Dar
1:Madam B
2:Shunie
3:miss chagga
4:Money penny
5:Hornet
6:Binti Magufuli
7:Mahondaw
8:Witnessj
9:Ms lincoln
10:Heaven Sent
11:Mzigua90
12Miss Natafuta
Mpendekeze nani anafaa kua mwenyekiti wa mkoani na katibu wake, ili kama kuna uonevu mnataja mwenyekiti kabisa hahaha
Kama nimekosea kukuweka sehemu sipo niambie nikuhamishe nikuwepo mahala sahihi
Haya tuendeeleeeeee
Niliporudiii likizo nikarudishwaa ...full kula sato tuu hapaaaUmetoka lini acha kunijaza msalimie abj
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata kwenye kutrade hayupoSijui kaunguza sh ngapi masikini!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja ajeUmbea+kiherehere.
Hahahaaa!! Mie nitakuwa mweka hazina. Hiki kitengo hakihitaji kura, napita bila kupingwa.Halafu unafaa kuwa mwenyekiti wa wanawake wa kijijini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Nakojooooooooooaaaaaaaa
Hapana jaman mpenda chura bakini nae tu hatumtakiMuwekeni mkoani kwanza mumchukue yule mpenda chura
HahaKwakweli huyo wabakie nae au aondolewe kwenye list kama the list tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntokee hapa
Ndo unaniona saivi
Shunie ndo mwekahazina plzHahahaaa!! Mie nitakuwa mweka hazina. Hiki kitengo hakihitaji kura, napita bila kupingwa.
Kuunguza accounts za watu huku unaona yataka userious wa hali ya juuWife sorry ujuee tumemisianaa na nilikuwa namalizana na mdogo wakoo
Tokea uwe burokaaaa umekuwa siliasii mno
Unatumia uchi wa moto au wa baridi?This way too inappropiate..JF lazima mjitathimini upya..haiwezekani uzi kama huu ambao ni rubbish kabisa unaachwa unaishi wakati mnafuta thread zenye argument nzito kuhusu SKUNK.
sasa ivi mmefuta comment zangu za the bold..najiuliza huu uzi una manufaa gani kwa watu au ndio genge la kupoteza muda? Najiuloza hawa binadamu hamna kazi nyingine mpka mnakusanyana kuongelea watu??
Dunia hii imekuwa ndogo na teknolojia imekuwa kubwa kias kwamba by connecting little dots watu wanaweza kujua whereabouts za mtu yeyote. JF mmejinasibisha kulinda taarifa za watu wenu lakini uzi kama huu watu wanajadiri makazi ya watu na nyie mko kimya..
Kwanini mnaacha vitu kama hivi vinavoanzishwa na viumbe dhaifu kama hawa vimee na kuchipuka humu ndani..leo wanajadili makazi, kesho nani anafanya kazi wapi, keshokutwa, mtaa anaoishi..this is absurd!!!
Mods naomba mfute uzi huu sababu unavunja kanuni zenu za usiri wa member wenu.
Uzi huu ufutwe sababu unaweza kutumika vibaya na watu wenye maslahi yao..huyu member aliyeleta mada hii apewe adhabu kali iwe onyo kwa aina yake.
Jamii forum, moderators, paw, invicible
Wanataka kutupa huyo le akili kubwa hatumtakiwakunyumba ni nini lakini unalalamika?
Kwahiyo mshindi matendo yake yanakua yanaakisi tabia za watu wake si ndio? Nawaza akili za Kisandu ziwe zinamwakilisha BehaviouristEti nishinde mim na kisandu. ,,kisandu jamani jamaniii
Hahaa!mbona wajimegea kitengo kitakatifu hivyo?Hahahaaa!! Mie nitakuwa mweka hazina. Hiki kitengo hakihitaji kura, napita bila kupingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sautiKwakweli huyo wabakie nae au aondolewe kwenye list kama the list tu.