Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Nataja majembe ya mikoani yaliyotukuta wengine mtawataja na mtajitaja ,,nani anaefaa kuwa mwenyekiti na katibu wake
Wanaume wa mkoani wanasifika kwa vitu vingi hasa nguvu nyingi za sehemu zote ,kila idara ,hata sasa ukiangalia nchi inaongozwa na watu wa mikoani
Haya sasa kwa humu jf nani anafaa kuwa mwenyekiti kati ya hawa
Wanaume wa mikoani na wanawake pia

1:Behaviourist
2😀eo Nalimi Kisandu
3:Kiwatengu
4:Kaizer
5:Quigley
6😀aby
7:Mshipa
8:Mbalizi1
9:Mndali ndanyelakakomu

10:
Wengine tajeni niwaongeze kwenye list



Wanaume wa dar wakiongozwa na baba lao 1:Le mutuzi
2:Gudume
3:Nyani Ngabu
4:Makaveli1
5:Nokia83
6:Vladmir putin
7:RRONDO
8:Billie
9:Ontario
10:Asprin
11:Smart911

Wanawake wa Mkoani
1😀inazarde
2:evelyn salt
3:honey faith
4:espy
5:Mbitiyaza
6😀emmis
7:Kapeace
8😀emi
9:Neybright
10:Sakayo
11:Emmyta
12:Moneytalk
Ongezeni majina nitayaweka pia

Wanawake wa Dar
1:Madam B
2:Shunie
3:miss chagga
4:Money penny
5:Hornet
6:Binti Magufuli
7:Mahondaw
8:Witnessj
9:Ms lincoln
10:Heaven Sent
11:Mzigua90
12Miss Natafuta

Mpendekeze nani anafaa kua mwenyekiti wa mkoani na katibu wake, ili kama kuna uonevu mnataja mwenyekiti kabisa hahaha
Kama nimekosea kukuweka sehemu sipo niambie nikuhamishe nikuwepo mahala sahihi
Haya tuendeeleeeeee
Wa nje ya nchi Mkuu ndo unatutenga daah au kisa Mi nakaa Malawi fresh tu mkuu[emoji26] [emoji3] [emoji12]
 
This way too inappropiate..JF lazima mjitathimini upya..haiwezekani uzi kama huu ambao ni rubbish kabisa unaachwa unaishi wakati mnafuta thread zenye argument nzito kuhusu SKUNK.

sasa ivi mmefuta comment zangu za the bold..najiuliza huu uzi una manufaa gani kwa watu au ndio genge la kupoteza muda? Najiuloza hawa binadamu hamna kazi nyingine mpka mnakusanyana kuongelea watu??

Dunia hii imekuwa ndogo na teknolojia imekuwa kubwa kias kwamba by connecting little dots watu wanaweza kujua whereabouts za mtu yeyote. JF mmejinasibisha kulinda taarifa za watu wenu lakini uzi kama huu watu wanajadiri makazi ya watu na nyie mko kimya..

Kwanini mnaacha vitu kama hivi vinavoanzishwa na viumbe dhaifu kama hawa vimee na kuchipuka humu ndani..leo wanajadili makazi, kesho nani anafanya kazi wapi, keshokutwa, mtaa anaoishi..this is absurd!!!

Mods naomba mfute uzi huu sababu unavunja kanuni zenu za usiri wa member wenu.

Uzi huu ufutwe sababu unaweza kutumika vibaya na watu wenye maslahi yao..huyu member aliyeleta mada hii apewe adhabu kali iwe onyo kwa aina yake.

Jamii forum, moderators, paw, invicible
Unatumia uchi wa moto au wa baridi?
 
Back
Top Bottom