[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana mambo makubwa ni jasiriii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unapatikana bar gani huo?Unatumia uchi wa moto au wa baridi?
Mi wa dar nlkua naomba cheo cha ......We wa Dar au?
Hapana jamani kila mtu na list yake msitujazieHaha
Hiyo list yenu bwana... Kuna watu mmewaonea aki
Nawe si unayo?Hapana jaman mpenda chura bakini nae tu hatumtaki
Wanapaita tanga tanga rahaaaHahaha noma sana pande hzo
Kuwowaaaa lazimaaaa....au nikutafutiee kuku wa kienyejii na maharagee[emoji23] [emoji23] [emoji23]He he umeshawowa huko au unajua unanitamanisha mwenyewe
Ahahhaha huyu atakuwa ameunguza hauwezekani mda wote ana hasira na forex [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chezea kuunguza account!!
Shunie wa dar mie wa mikoani hivyo hamna shida mkwe. Sijui ndio mkwe sijui sio maana mnafanana majina.Shunie ndo mwekahazina plz
Hapana aiseeeAna mambo makubwa ni jasiriii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu ile siku anadaiii amezimiaa kwa kungfu kumbe aliunguza madolaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile presha sasa
Mtoe huyo Daby niweke mimi.Kaa kimyaa raia watachagua
Taja wengine wa mikoani nijaze nafasi
Mtoe huyo Daby niweke mimi.Kaa kimyaa raia watachagua
Taja wengine wa mikoani nijaze nafasi
Wewe utakuwa wa Kagera.
OoopsTaratibuu mke make wa dar wakikusikia watajuaa una mapeneee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe dogo umenifanya nikuonee huruma na majonzi na kikubwa niwasikitikie ndugu zako.
Maana hakuna kitu kibaya duniani kuwa na ndugu alafu kichwa maji.
Mimi naambiwa nikanye wewe una like alafu unakejeri alikuwa mzito..unaweza wewe nguchiro ukanifanyia ivo mimi???
Nawaza kwa sauti ivi wew ni mwanaume? Na kama ndivo ilivo unawezaje kukaa kwenye uzi kama huu na kusukana nywele na hawa viumbe??.
Unawezaje kukaa na kocoment kwenye uzi kama huu ambao umejaa umbea na unavunja sheria za jamii forum..au ndio birds of same feather..??
Unawezaje kukaa apa kujadiri makazi ya watu, kesho uanze kujadiri kitanda anacholalia mtu, anatumia mswaki siku ngapi..anakula wapi??
Huu umbea apa unakusaidia nini?? Ndugu zako wanajua unachokofanya humu? Una support ujinga na kucheka??
Jitathimini dogo na siku nyingine ukiniqoute mimi you will be in for real treat.
Huu uzi lazima ufutwe na utafutwa tu..haiwezekani watu wanajadiri makazi ya watu na unaachwa uishi kias hiki.
Hao wawili wakiwakilishana hamna shida. Ila sio ndio wawakilishe kundi zima.Kwahiyo mshindi matendo yake yanakua yanaakisi tabia za watu wake si ndio? Nawaza akili za Kisandu ziwe zinamwakilisha Behaviourist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie ebu niache mbavu zinaniumaSasa zile stress za nini jamani!! Waunguze wengine yeye aumie!!!