Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Hao wawili wakiwakilishana hamna shida. Ila sio ndio wawakilishe kundi zima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawakilisha kundi zima
 
Hapo kwenye mwanamke wa mkoani ,tafadhali MW/KITI wao awe emmyta Vote yangu kwake.
 
Ni udhalilishaji kufananisha watu wa dar na wamikoani,mtu anaamka break ya kwanza kwenye banda la nguruwe,hajakaa sawa kaingia migombani,dk kadhaa baadae utamuona anaswaga ng'ombe kwenda malishoni akitoka huko no kuoga no kupiga mswaki moja kwa moja utamkuta kwa bed,hapa mnatuonea sana sisi wanaume wa jiji la maraha,wenzao wengine wako huku hawataki kurudi porini.
 
Back
Top Bottom