Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtoe huyo Daby niweke mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtoe huyo Daby niweke mimi.
Basi tumhonge dina asiwepo kwenye list kama broker.Auntie hapana cake baki nayo tu na uroho wangu wote siitaki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wana stress sana kaja kishari kajibiwa kishari analalamika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unataka kunigombanisha na sakayoMmh acha kunijaza unidanganye na hivyo vitu kwahiyo na wewe umewowa umeshajipatia huko huko au ulitoka nae huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawakilisha kundi zimaHao wawili wakiwakilishana hamna shida. Ila sio ndio wawakilishe kundi zima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na inaonyesha mambo hayo unayawezaUmeonae eeeh...
Huko kunanifaa ujue
Njo tukuogeshe acha uoga na kisahani na tunakukalisha kwa kigodaHuko naskia ni balaa tupu unaogeshwa maji ya iliki
Alafu akili yake inafanana na yule dogo wa kudharau.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] harudi tena
Me najua wanaume wote mnapenda machura mkuu kumbe hata sisi tuliopigwa pasiPasi ndio mpango mzima
Changamoto[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wana stress sana kaja kishari kajibiwa kishari analalamika
Ahahhaha huyo uzi utafutwa kweliNimeogopaaa akija hapa uzi unafutwaaa haahahh
EwaaaaNdo maana nakupenda
Uchekee niniNatamani T akuje nijichekee mie
Ontario amsaidie huyu kabla hajafanya yale yalofanywa na maro.Ahahhaha huyu atakuwa ameunguza hauwezekani mda wote ana hasira na forex [emoji3][emoji3][emoji3]