Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Kidume gangamala bhana unakua lainiii kama dadaako nandy, huku mkoani kwetu wewe unaweza pigwa mitama na kidem tena cha form one
Ndo hapo sasa... nichukulie poa kwamba mtu wa epe yai halafu uone vumbi lake!
 
Asante hii ndio organ fulani inahusika na matendo yasio ya hiyari......"Naomba wa mikoani waje tulizungumze"....
Nasikia mnaitwa Lindi mmetengewa ekari 54K mkatulimie korosho! Fanyeni fasta bhana... msisahau kutubangulia na kututolea maganda ya ndani ili zibaki laaiiiiini!

Dah; God isn't fair kabisa!
 
Uzuri mimi situmii tigo jombaa tafuta mtu mwingine
Get your self a life dogo..hizi mipasho wala hazitokusaidia, huku kujipendekeza kwa vigagula vya humu haitokufanya uongeza tija ktk kipato.

nyie ndio mnaoolewa na bibi zenu sababu ya vitabia vya kidelicious namna..unajipendekeza kwa vigagula ili iweje sasa, unakaa unachat maharage mabichi upate nini?? wasted sperm!!
 
Ndio mana nakuambia kama unawashwa peleka tigo yako kwa mtu mwingine mimi huwa situmii tigo...... Ur messing with a wrong a person
 
Pole sanaa......mkuu embu jaribu kupunguza kulia alafu acha papara wakati wa kuandika.... sijui unaogopa nini
 
Ndio mana nakuambia kama unawashwa peleka tigo yako kwa mtu mwingine mimi huwa situmii tigo...... Ur messing with a wrong a person
Wewe ni mzigo kwa ndugu zako..saa12 uko online, what a pathetic loser

Nitafute nikupe kibarua..idiot
 


Huyu jamaa napendekeza awe mwenyekiti kwa upande wa wanaume wa dar

GuDume awe katibu wake
 
Miss chaga na huyo mzigua wote ni wahamiaji tu naona unazingua tu dsm imezungukwa na pwani hapo ningeona majina ya wandengeleko, zaramo, wakutu, wavidunda na wakwele ningekuelewa, uliowataja wewe ni mamluki tu waliovamia jiji
 
Kuchafua hali ya hewa si inaruhusiwa? Ukisema tuchague mwenyekiti wa kanda ya ziwa halafu majina yakawekwa kama Massawe, shemhoza, mgaya, Madega hivi hao ni wa kanda ya ziwa jamani?

Napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…