cyde manchester
New Member
- Mar 31, 2014
- 2
- 1
Hii topic haina maana. Ni ya kipuuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhkapeace,demi,neybright
u wewe wa dar shogaaDuuh
Ahahahaaaaaaa
u wewe wa dar shogaa
usiniambie nawe wa mwanza? duh tuwe wemgi mwenzangu kanda ya dhiwaAhahahaaaaaa
Shoga ndio naona uzi sasahivi, mie wa misungwi mama
Eeh mwaya sisi ndio wenye nchi yetu [emoji6]usiniambie nawe wa mwanza? duh tuwe wemgi mwenzangu kanda ya dhiwa
2020 mtuachie nchi yetu kafugeni mang'ombe hukoEeh mwaya sisi ndio wenye nchi yetu [emoji6]
Tunatamani kuwaachia tatizo nyie wenyewe ndio mnaotulazimisha tuongeze muda.2020 mtuachie nchi yetu kafugeni mang'ombe huko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dina ebu niache sio mbongo huyo inaonekanaAkipiga simu sasa nataman kuikimbia,kukimbia shule kubayaaaa
Usijifanye kuzuga, upo pale!!!Yaa mwenye pinki huyoo
Na wa kanda ya kiuno wakisema itakuwajeusiniambie nawe wa mwanza? duh tuwe wemgi mwenzangu kanda ya dhiwa
waseme tu !