Ahahhaha anajifanya le akili kubwa kama kokobanga mda woteYaan huyu ana vitukoo kaa yaan ana hasira muda wotee
Huyu nae umekuwa utoto sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mda wote ye wa akili kubwa tu
Haha sijui ni ruvuma au lindiAu we unauelewa ndugu, hapa nilipo panaitwa Namtumbo.... Haya sasa ndo mkoa gani
MpwapwaHivi Jirani yangu slim ni wa wapi
Alafu wewe si wa kanda ya ziwa mbona wamekupendelea kukuweka namba 2 kwa dar[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nirudishe tu hakuna namna
HahaKumbe yule le kipilipili babu yake keanu
Hivi umefikriaa nini kuniweka kwenye list ??Mmh haiwezi kuwa hivyo
Kila sehemu yupo serious hapa ni chit chat watu tunatolea stress zetu za vyuma kukaza apambane tu na hali yakeHuyu nae umekuwa utoto sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umemuona list khaaa
HahaHaha sijui ni ruvuma au lindi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukimanishaa mzito ?Akanye kabisa awe mwepesi ndio alale
KhaaaMpwapwa
Hapo pananifaa kabisa nimehamia dar kwa mdaAlafu wewe si wa kanda ya ziwa mbona wamekupendelea kukuweka namba 2 kwa dar