Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Wanaume au wavulana!!Nataka wanaume wanawake mmetoshaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume au wavulana!!Nataka wanaume wanawake mmetoshaa
Hata sijui mie hata young sijui wa wapiHivi Jirani yangu slim ni wa wapi
[emoji106] [emoji106]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha mambo yakoHuu mkoa hata siuelewi kwa kweli!!
karibu[emoji106] [emoji106]
Sio kwa kunihamisha hukoo...Ahahahha nilijua tu
Ahaha Le no moja ndio nani tenaSio kwa kunihamisha hukoo...
Mie nikisoma hayo majina yenu ya Dar nacheka tuu sijui kwa nini...
Msalimieni Le namba moja kwa wanaume bwana!!!!
Kumbe upo shy jirani yangu
We wa dar au wa mkoani?This way too inappropiate..JF lazima mjitathimini upya..haiwezekani uzi kama huu ambao ni rubbish kabisa unaachwa unaishi wakati mnafuta thread zenye argument nzito kuhusu SKUNK.
sasa ivi mmefuta comment zangu za the bold..najiuliza huu uzi una manufaa gani kwa watu au ndio genge la kupoteza muda? Najiuloza hawa binadamu hamna kazi nyingine mpka mnakusanyana kuongelea watu??
Dunia hii imekuwa ndogo na teknolojia imekuwa kubwa kias kwamba by connecting little dots watu wanaweza kujua whereabouts za mtu yeyote. JF mmejinasibisha kulinda taarifa za watu wenu lakini uzi kama huu watu wanajadiri makazi ya watu na nyie mko kimya..
Kwanini mnaacha vitu kama hivi vinavoanzishwa na viumbe dhaifu kama hawa vimee na kuchipuka humu ndani..leo wanajadili makazi, kesho nani anafanya kazi wapi, keshokutwa, mtaa anaoishi..this is absurd!!!
Mods naomba mfute uzi huu sababu unavunja kanuni zenu za usiri wa member wenu.
Uzi huu ufutwe sababu unaweza kutumika vibaya na watu wenye maslahi yao..huyu member aliyeleta mada hii apewe adhabu kali iwe onyo kwa aina yake.
Jamii forum, moderators, paw, invicible
Hebu wakuje waeleze ukweliHata sijui mie hata young sijui wa wapi
Kumbeeeee!!!Wa dar huyo ngoja akuje
yapKumbe upo shy jirani yangu
Asante nitakaribiakaribu
Vipi kaka ako anafaa kuwa m/kiti?Heaven Sent hivi wewe wa nchi gani?
Twafadhariiiiii tuheshimianeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au we unauelewa ndugu, hapa nilipo panaitwa Namtumbo.... Haya sasa ndo mkoa gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha mambo yako