Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

This way too inappropiate..JF lazima mjitathimini upya..haiwezekani uzi kama huu ambao ni rubbish kabisa unaachwa unaishi wakati mnafuta thread zenye argument nzito kuhusu SKUNK.

sasa ivi mmefuta comment zangu za the bold..najiuliza huu uzi una manufaa gani kwa watu au ndio genge la kupoteza muda? Najiuloza hawa binadamu hamna kazi nyingine mpka mnakusanyana kuongelea watu??

Dunia hii imekuwa ndogo na teknolojia imekuwa kubwa kias kwamba by connecting little dots watu wanaweza kujua whereabouts za mtu yeyote. JF mmejinasibisha kulinda taarifa za watu wenu lakini uzi kama huu watu wanajadiri makazi ya watu na nyie mko kimya..

Kwanini mnaacha vitu kama hivi vinavoanzishwa na viumbe dhaifu kama hawa vimee na kuchipuka humu ndani..leo wanajadili makazi, kesho nani anafanya kazi wapi, keshokutwa, mtaa anaoishi..this is absurd!!!

Mods naomba mfute uzi huu sababu unavunja kanuni zenu za usiri wa member wenu.

Uzi huu ufutwe sababu unaweza kutumika vibaya na watu wenye maslahi yao..huyu member aliyeleta mada hii apewe adhabu kali iwe onyo kwa aina yake.

Jamii forum, moderators, paw, invicible
We wa dar au wa mkoani?
 
Back
Top Bottom