Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi upo mkoa gani?Hivi Jirani yangu slim ni wa wapi
Mbalizi1Tajana wanaume wa mikoan nijaze pale juu
Kumbe nawe ni wa dar Jirani... Nilikuwa namuuliza Shunie hapo juu ka alishawahi kukuona huko DarKtk list ya wanaume wa DSM simo! Sa hapa ndio naamini kama MUHIMBILI MLOGANZILA ipo Kisarawe na sio DSM!
shyAisee semeni mikoa mliopo tukipita huko tuwasabahi
Huu mkoa hata siuelewi kwa kweli!!Hivi upo mkoa gani?
Sisi tunaoishi kisiwa cha saa nane ni wa upande upi? Kwani tunasimamisha January tarehe moja tu kila mwaka. Siku 364 imesinyaa zaidi ya le mutuz! Naomba jibuHahahahah
Auntie me wa dar na mwendokasi ndio usafiri wetu nitakualika auntie tutaanzia ubungo terminal tukitoka hapo manzese darajani kushangaa daraja tukitoka hapo kkoo tutaenda posta ukashangae baharini shilingi inazama meli inaelea halaf coco beach utakua umeisikia nitakupeleka huko ukale mihogo na mishkaki auntie yaan utapanda mwendokasi ushindwe wewe tuKumbe auntie wewe wa daa!! Hata kunialika nije nami nipandepo kamwendokasi jamani!!!
Ahhaha inabidi muanzishiwe uzi wenu mpo wengiNdio jee watoto wa majuu
Ahahahha nilijua tuKhaaa