Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kaka yangu yupi? Maana hapo wametajwa kaka zangu wengi.Vipi kaka ako anafaa kuwa m/kiti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka yangu yupi? Maana hapo wametajwa kaka zangu wengi.Vipi kaka ako anafaa kuwa m/kiti?
Dina mchonganishi sana kwahiyo ndio kusema wanaume zetu wa dar wana kipilipiliHaha
Dina kawadhalilisha wanaume wenu aki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vinakazaa kwa wengine kwakoo napingaaaaaa....Kila sehemu yupo serious hapa ni chit chat watu tunatolea stress zetu za vyuma kukaza apambane tu na hali yake
Kwahiyo nimeongopa uongo siwezi mimiHivi umefikriaa nini kuniweka kwenye list ??
Kwani watakudaii??Hapana haunifai huo nitakula hela zote najijua ninavyopenda mahela
Kwakweli, hamna wa mkoani wa hivyo.Wa Dar huyoo hahahahah
Mmmmmmh .....Hapo pananifaa kabisa nimehamia dar kwa mda
Kwa lafudhi yako tu utakuwa wa tanga weweHaha
Si umeona hata wewe huelewi eeh
Kwangu huwa havikazi eenh usinifanyie hivyo nipo busy na kupaka grisi hapa nimekuwa mweusi zaidi ya lami[emoji23] [emoji23] [emoji23] vinakazaa kwa wengine kwakoo napingaaaaaa....
Kisandu,[emoji23] simuelewagi kabisa mara mia le mutuzHahahaahahahaah anaitwa nanii
Kwa nini nisidaiwe na nimekula mahelaKwani watakudaii??
Leo umeongopaaaa....sina tabia hizoKwahiyo nimeongopa uongo siwezi mimi