Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kaunguza sh ngapi masikini!!Hahahaha akanye alale mwepesii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mara unashinda wewe na Kisandu.Woyoooooo tunasubiriaa anaetajwa na wengi ndio atafaa
Muwekeni mkoani kwanza mumchukue yule mpenda churaApelekwe wapi na wakati wa dar
Hapana auntie tulionao wanatutosha ebu angalia le kokobanga ndio anaongoza list kuna wengine hapo pasua kichwa sana hatutaki tena watu wa ajabuHapana aunty, tunaomba mtusaidie huyo mmoja tu, kisandu anatutosha.
Achs bhana..huwa sijaribiwi ujueFunguka baba tupeane marahaa
Ntokee hapaWifee tunapishana kama upepo
Wewe utakuwa wa Kagera.[emoji1] [emoji28]
Jamani mbona Mwanza ya Wasukuma pia!
Umetoka lini acha kunijaza msalimie abj
wakunyumba ni nini lakini unalalamika?Hapana auntie tulionao wanatutosha ebu angalia le kokobanga ndio anaongoza list kuna wengine hapo pasua kichwa sana hatutaki tena watu wa ajabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Deo Kisandu[emoji13]
Halafu unafaa kuwa mwenyekiti wa wanawake wa kijijiniUmbea+kiherehere.
HahaHahaha huo mkoa nauogopa sana watu wanapakwa asali alafu wanalambwa
Kwakweli auntie asiwepo tu kwa list apambane tu na stress zake mda wote tu ye ana stress[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo bora asiwepo kwenye list kuloko kuwepo Dar!! Utamuongezea stress mwenzio.
Kwakweli huyo wabakie nae au aondolewe kwenye list kama the list tu.Muwekeni mkoani kwanza mumchukue yule mpenda chura
Wife sorry ujuee tumemisianaa na nilikuwa namalizana na mdogo wakooNtokee hapa
Ndo unaniona saivi
Hivi ulimaanisha mstari kumbe nilijua asali yule aliyefanyiwa vile wamekutana wote machizi unamlambaje mwanaume kule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee hyo kulambwa mstari ndio siitaki kabisa