Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume
Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana tukianzia kwenye Nyumba zetu mpaka Jamii nzima
Kuna Wanaume nawaona Mtandaoni huku wanaona Ukatili dhidi ya Wanawake ni jambo la Haki wao kulifanya (Safari ni ndefu ya kuleta Mabadiliko)