Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anayekutaka kwasababu ya hela lazima atamtafuta mwanaume mwingine anayempenda kutoka moyoni.Kwako atafuata pesa kule atafuata mapenzi.Unatafuta mwanamke unayemtaka au atakaye kupenda na kukuheshimu katika hali zote.
Mwanamke akikupendea hela zikiisha then what next. All in all pesa ni muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaishaje wakati ndo silaha yakeUnatafuta mwanamke unayemtaka au atakaye kupenda na kukuheshimu katika hali zote.
Mwanamke akikupendea hela zikiisha then what next. All in all pesa ni muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana agiza alkasusu hapo nakuja kulipa .... [emoji122][emoji122]Huyo anayekutaka kwasababu ya hela lazima atamtafuta mwanaume mwingine anayempenda kutoka moyoni.Kwako atafuata pesa kule atafuata mapenzi.
Mkuu,sema pesa itakuruhusu kula mwanamke unayemtaka ili sio kummiliki.Kumiliki mwanamke ni sanaa na kipaji kikubwa sana.Usione watu wanamiliki wanawake ukafikiri ni kazi rahisi au ni pesakuna mda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume.
hata ukiwa mzee ,mlemavu,sura mbaya ila pesa kama hipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata.
mambo ya kutongoza sana wakati kapuku yamekwisha.
utaweza kummiliki endapo atakupenda na kukuridhia kwa jinsi ulivyo na sio mali wala fedha unazo miliki ..Mkuu,sema pesa itakuruhusu kula mwanamke unayemtaka ili sio kummiliki.Kumiliki mwanamke ni sanaa na kipaji kikubwa sana.Usione watu wanamiliki wanawake ukafikiri ni kazi rahisi au ni pesa
[emoji23][emoji23]Huu ni upotofu wa fikra. Sasa tutafute pesa ili tugawe gawe hovyo?! Ndio maana MUNGU anafunga milango ya baraka kwa vijana wengi sababu anaona mara atakapoifungua na baraka zikamwagika basi mtatumia kipato kufanya ufuska na sio kuishi kwa mapenzi yake.
Mimi nilitegemea useme labda, wanaume tutafute pesa tufanyie service magari yetu, tuya upgrade na spare za kisasa au kuyapamba na kufunga mziki mzuri.
Kelele za kutafuta pesa zimekuwa too much! Tuambieni tujue.....kiwango stahiki ni sh. Ngapi au ni mali ipi umiliki na yepi hayatakukuta endapo utamiliki pesa/ mali kiasi hicho. Mmesikia nyie? Aah,mnachosha!kuna mda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume.
hata ukiwa mzee ,mlemavu,sura mbaya ila pesa kama hipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata.
mambo ya kutongoza sana wakati kapuku yamekwisha.
kuna mda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume.
hata ukiwa mzee ,mlemavu,sura mbaya ila pesa kama hipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata.
mambo ya kutongoza sana wakati kapuku yamekwisha.
Ukweli mtupu.. hapa mademu wananisumbua kishenzi yaani sms simu za kutosha kila mmoja ananitaka nimpelekee moto.. tutafute pesa tuuu aah! kumbe ndotokuna mda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume.
hata ukiwa mzee ,mlemavu,sura mbaya ila pesa kama hipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata.
mambo ya kutongoza sana wakati kapuku yamekwisha.
Banks uwe na cash walau 30 million +, kwenye mobile money zako kusiwe na kila moja na chini ya 6 million, uwe na Gari isiyopongua thamani ya 40 million, uwe na nyumba standard au kama umepanga pawe standard sana na furniture ziwe kiwango na gari uwe nazo kuanzia mbili kwenda juuKelele za kutafuta pesa zimekuwa too much! Tuambieni tujue.....kiwango stahiki ni sh. Ngapi au ni mali ipi umiliki na yepi hayatakukuta endapo utamiliki pesa/ mali kiasi hicho. Mmesikia nyie? Aah,mnachosha!
Una wandinya makapuku pia, zile high class ugusi mkuu
Na wote tuseme ameeen!Zinaishaje wakati ndo silaha yake
Ndo maana anasema tujikite kuzisaka
Mi naongezea tujikite kuwa na cash flow ya uhakika, itakayokufanya uwe nazo tu, yaan uwe nazo muda wote wa uhai wako