Wanaume wapendeni wapenzi wenu wa kike

Wanaume wapendeni wapenzi wenu wa kike

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Screenshot_2018-03-13-21-18-49-1.png
kwa mim na Demiss raha tunazopata sijui tu japo yeye sijajua kama ni kweli na mshana wake ila kupendwa raha nyie hasa mwanaume anapojitambua hamuwezi amini nishamsahau hata ulimwengu kuna watu wanajua kupiku aisee
We mwanaume wewe hizi raha unazonipa ulikuwa wapi zamani
Natamani hadi wanyama niwaambie jinsi navyopendwa mie
 
Mama sabrina na wewe unaringa kisa kupendwa na yule mario ulimwengu bora yangu mimi nimetulia na mbitiyaza wangu
Haahah Shemela wangu ni hivi huyu mwanaume member za mwenzio wa hapa jf nahisi ni malaika amekamilika kila kitu kwanzia uanaume wake na kila kitu mpaka huyo Mario Ulimwengu nimemsahau
 
Haahah Shemela wangu ni hivi huyu mwanaume member za mwenzio wa hapa jf nahisi ni malaika amekamilika kila kitu kwanzia uanaume wake na kila kitu mpaka huyo Mario Ulimwengu nimemsahau
Ndo nan huyo au ndo USA BABY nini kutoka ikungulabagash
 
View attachment 713994 kwa mim na Demiss raha tunazopata sijui tu japo yeye sijajua kama ni kweli na mshana wake ila kupendwa raha nyie hasa mwanaume anapojitambua hamuwezi amini nishamsahau hata ulimwengu kuna watu wanajua kupiku aisee
We mwanaume wewe hizi raha unazonipa ulikuwa wapi zamani
Natamani hadi wanyama niwaambie jinsi navyopendwa mie
Mwanaume akimpenda mwanamke ndivyo mwanamke anakuwa na wivu zaidi wivu hupelekea mwanaume kuto kuaminika
 
Back
Top Bottom