Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
We mwanaume wewe hizi raha unazonipa ulikuwa wapi zamani
Natamani hadi wanyama niwaambie jinsi navyopendwa mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jomonii kichwa eeToo much is harmful
Demis anakula pesa za mshana zitokazo wa wagonjwa wa matambiko, mizimu na ramuli hilo penz lazima life kabla ya mwez wa sita
Mama sabrina na wewe unaringa kisa kupendwa na yule mario ulimwengu bora yangu mimi nimetulia na mbitiyaza wanguJomonii kichwa ee
Mambo baby wanguhahaa aisee
Haahah Shemela wangu ni hivi huyu mwanaume member za mwenzio wa hapa jf nahisi ni malaika amekamilika kila kitu kwanzia uanaume wake na kila kitu mpaka huyo Mario Ulimwengu nimemsahauMama sabrina na wewe unaringa kisa kupendwa na yule mario ulimwengu bora yangu mimi nimetulia na mbitiyaza wangu
thafi aje wwMambo baby wangu
Ndo nan huyo au ndo USA BABY nini kutoka ikungulabagashHaahah Shemela wangu ni hivi huyu mwanaume member za mwenzio wa hapa jf nahisi ni malaika amekamilika kila kitu kwanzia uanaume wake na kila kitu mpaka huyo Mario Ulimwengu nimemsahau
Umemsikia mama sabrina?thafi aje ww
ndo mtupendeUmemsikia mama sabrina?
Hahahaahahah wanakua pesa za mganga mshana mi wangu kashika dini ana hofu ya MunguDemis anakula pesa za mshana zitokazo wa wagonjwa wa matambiko, mizimu na ramuli hilo penz lazima life kabla ya mwez wa sita
Mwanaume akimpenda mwanamke ndivyo mwanamke anakuwa na wivu zaidi wivu hupelekea mwanaume kuto kuaminikaView attachment 713994 kwa mim na Demiss raha tunazopata sijui tu japo yeye sijajua kama ni kweli na mshana wake ila kupendwa raha nyie hasa mwanaume anapojitambua hamuwezi amini nishamsahau hata ulimwengu kuna watu wanajua kupiku aisee
We mwanaume wewe hizi raha unazonipa ulikuwa wapi zamani
Natamani hadi wanyama niwaambie jinsi navyopendwa mie
Lakin hata hivyo mimi nakupenda sana my dear huu mwaka hauish bila kununulia garndo mtupende
Lakin hata hivyo mimi nakupenda sana my dear huu mwaka hauish bila kununulia gar
Nataka nikupige kitu MARK X new kabisa mpenzkwakweli beira fanya hima!ujue naendesha namba B!nimeichokaaa...we ntftie 10m !mie ntajazilizia !
thnks in advance