Wanaume wapendeni wapenzi wenu wa kike

Dah tunguri za mshana hazijamuacha salama demis had akamutosa MWIFA

Dah noma sana mwifa ndo aliyemfanya demis aijue jf lakin kafika jf mshana kafanya yake daah life is not fair mshana mungu anakuona ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoma ikivuma sana mwisho wake hupasuka...

if you know what i mean

Naomba niishie hapa Tafadhali.
 
Nataka nikupige kitu MARK X new kabisa mpenz

Lakin naona mama sabrina udenda unamtoka yeye na mpenz wake wananunulianaga mandaz
Beira acha zako baby wangu sio mchovu halaf nin huwe amini tarehe 16 ni siku yake ya kuzaliwa halaf anafyatua na mzigo nna raha hapa mimi ,,nishakata tiketi ya ndege asubuhi sana tunaanza fyatuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…