Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa atleast umenpa kicheko dahHahaha demi si anajua mimi ni minshen town hajui kuwa mimi nina pesa had nahis kujiteka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demis anakula pesa za mshana zitokazo wa wagonjwa wa matambiko, mizimu na ramuli hilo penz lazima life kabla ya mwez wa sita
Raha kwetu rahaaaaaJomonii kichwa ee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah tunguri za mshana hazijamuacha salama demis had akamutosa MWIFA
Dah noma sana mwifa ndo aliyemfanya demis aijue jf lakin kafika jf mshana kafanya yake daah life is not fair mshana mungu anakuona ujue
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Inna Ailaviuu
Alafu siku hiz mbona simuon jaman yuko waphaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa atleast umenpa kicheko dah
Jaman mm nampenda mme wangu hakuna cha ndumba wala nnHahahaahahah wanakua pesa za mganga mshana mi wangu kashika dini ana hofu ya Mungu
[emoji322] [emoji322] [emoji322] [emoji813] [emoji813][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Dah mshana ni mpiga ramli na. Mshika tunguri ile mbaya mimi nahis demiss alichomewa dawa kali sana na mshanaHahahaahahah wanakua pesa za mganga mshana mi wangu kashika dini ana hofu ya Mungu
Hapana sio ni mwingine tu siku moja nitataja jina lake analotumiaNdo nan huyo au ndo USA BABY nini kutoka ikungulabagash
Lile litrafiki ulilipiga marufuku?Lakin hata hivyo mimi nakupenda sana my dear huu mwaka hauish bila kununulia gar
Beira acha zako baby wangu sio mchovu halaf nin huwe amini tarehe 16 ni siku yake ya kuzaliwa halaf anafyatua na mzigo nna raha hapa mimi ,,nishakata tiketi ya ndege asubuhi sana tunaanza fyatuanaNataka nikupige kitu MARK X new kabisa mpenz
Lakin naona mama sabrina udenda unamtoka yeye na mpenz wake wananunulianaga mandaz
Dreka nna rahaPromosheni hii
Tushee bas na mmiDreka nna raha
Namuamini sana tuMwanaume akimpenda mwanamke ndivyo mwanamke anakuwa na wivu zaidi wivu hupelekea mwanaume kuto kuaminika