Wanaume warefu...

Hao ni mamba katika kundi la kenge
 
Mleta mada umejuaje lakini kama warefu wana vipisi
 
Halafu watu wanasemaga wanaume wafupi ni wabishi Sana...hahaha!
 
Huku kijijin kwetu wakat tuna kua tuliambiwa kuwa wanaume warefu wana mikuyenge toka hapo mpaka leooo sijawahi kitembea na mrefu wala sijawahi kuvutiwa nao maana naogopa
Kumbe hujaona umehadithiwa jaribu ujionee
 
Kuna jamaa kipindi tupo A-level alikuwa tall sana, alikuwa mrefu kuliko woye pale shuleni....

Sasa yeye alikuwa hapendi kuogea bafu la wazi, huwa anaingia na ndoo chooni na kuoga huko mwenyewe......

Sasa siku moja akiwa anaoga, kumbe mlango hakuukaza, ukafungukaa.
Huku akiwa na mapuvu usoni akijisugua, watu tunamcheki tu.......

Kiukweli kama mungu yupo basi alimuonea sana mchizi. Ule urefu tulitegemea na chini kuwe hivyo.....

Kumbe ndio sababu ya yeye kutotaka kuogea bafu la wazi.
 
Ukisikia MTU anasema hivyo ujue katikati ya miguu yake ana bwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…