Wanaume watanashati wa Arusha, mpo JF?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Hivi arusha wapo jf members wa arusha ambao ni mahandsome very handsome ?
Kama mpo comment here if your very handsome only .
ila kama unaweza tokelezea poa ila hii fulsa ni kwachuga tu.
 
nipooo, mie ni HB kiasi hata warembo wakiniona wanasahau majina yao.

wanaanza kung'ata kucha huku wanaangalia chini. hadi huruma aisee.
 
Karibu Arusha mamake.. Kama unavyojua Arusha hakuna wanaume wabaya wala wanawake wabaya, labda wawe ni wakuja wahamiaji...and huwa tunawajua hata wakianza kutakata.. Wa Arusha atajulikana tu..njoo pm
 
nipooo, mie ni HB kiasi hata warembo wakiniona wanasahau majina yao.

wanaanza kung'ata kucha huku wanaangalia chini. hadi huruma aisee.
Kweli dah picha niko katika uchaguzi nipo serious sio uchumba labda itokee nimependa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…