Wanaume watanashati wa Arusha, mpo JF?

Yaani ulivyojitambulisha hadi imeshusha thamani yako
okay, ningependa kujua thamani yangu kabla ya kujitambulisha ilikua ngapi na baada ya kujitambulisha imeshuka mpaka ngapi?

it was a joke, hivi kuna mtu anaweza kujisifia kuwa yeye ni HB?
 


Wivu wakati nakusaidia kukupa maarifa? Wanawake walio wengi hawasisimuliwi na mwanamme anayefanana nao, ulizia Martin Kadinda ama Ben Kinyaiya watakuambia. Wanawake wanaona nyie sawa na wao na ndiyo maana wanakuwa hawana msisimko nanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…