Hii thread ni nzuri sana kwani imemuibua tena Cute b kutoka mafichoni!Ndio maana siku hizi watoto wanazaliwa wa ajabu kwa sababu hizi
Rafiki yangu wew sio mtu mzuri. Sio kwa kunichomesha mahindi hivyoHii thread ni nzuri sana kwani imemuibua tena Cute b kutoka mafichoni!
Asante sana mkuuInaweza kuwa taarifa mbaya zaidi kwa wanaume wanaojihusisha na uvutaji wa sigara na angalizo kwa vijana wanaotaka kujitumbukiza kwenye kilevi hicho.
Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chuo cha Bergen unaonyesha kubwa kuna uwezekano wa kemikali zilizopo kwenye sigara kwenda kwenye mbegu za uzazi za mwanaume Na kusababisha kupata mtoto mwenye pumu.
Jopo la watafiti nchini Norway, limegundua kuwa mtoto anaweza kupata ugonjwa wa pumu kutokana na uvutaji wa sigara wa baba yake
Kwa nijibu wa ripoti hiyo kemikali hizo zinaweza kukaa mwilini kwa muda mrefu na kuleta madhara baadae kwa mtoto.
Chanzo: Daily Mail
Ndio muache kuvuta.Madhara ya sigara Hayo.
Rafiki punguza kukaa saaaaaana mafichoni kwani tumekumiss sana kule MMU rafiki!!.......au kuna kitu kimekutokea?Rafiki yangu wew sio mtu mzuri. Sio kwa kunichomesha mahindi hivyo
Kule siku hizi hamna mada za kuchangia mkuu. Mada za kule siku hizi ni za kusoma halafu unatikisa kichwa unatulia..Rafiki punguza kukaa saaaaaana mafichoni kwani tumekumiss sana kule MMU rafiki!!.......au kuna kitu kimekutokea?
Bora hataMimi situmii sigara
Sasa huu ujumbe uwafikishie wote walio pande hizoKaribu tena
Mkuu umehama kutoka iPhone hadi huawei.Ni hatari kwa afya.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Hivi yangu inaonyesha pia?Acha hizo basi hahaha. Hata sijui imetokea vipi hiyo signature