Wanaume wavuta sigara hatarini

Wanaume wavuta sigara hatarini

Inaweza kuwa taarifa mbaya zaidi kwa wanaume wanaojihusisha na uvutaji wa sigara na angalizo kwa vijana wanaotaka kujitumbukiza kwenye kilevi hicho.

Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chuo cha Bergen unaonyesha kubwa kuna uwezekano wa kemikali zilizopo kwenye sigara kwenda kwenye mbegu za uzazi za mwanaume Na kusababisha kupata mtoto mwenye pumu.

Jopo la watafiti nchini Norway, limegundua kuwa mtoto anaweza kupata ugonjwa wa pumu kutokana na uvutaji wa sigara wa baba yake

Kwa nijibu wa ripoti hiyo kemikali hizo zinaweza kukaa mwilini kwa muda mrefu na kuleta madhara baadae kwa mtoto.

Chanzo: Daily Mail
Wanawake hongereni kuwa na kinga imara hata msidhurike. Wanaume acheni mara mmoja
 
e94eb13e9d70d065deb38adc7691e46f.jpg

Mchumia janga hula na wakwao...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom