Warren T
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 664
- 409
Sawa rafiki!Kule siku hizi hamna mada za kuchangia mkuu. Mada za kule siku hizi ni za kusoma halafu unatikisa kichwa unatulia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa rafiki!Kule siku hizi hamna mada za kuchangia mkuu. Mada za kule siku hizi ni za kusoma halafu unatikisa kichwa unatulia..
Bitoz anakutafutaaHapana. Hii inatokea kwangu wakati nareply
Sichomelei mdomo kamwe
Bitoz anakutafutaa
Tupo hapa sasahahahahaha, hata yeye aliniambia anakutafuta
Wanawake hongereni kuwa na kinga imara hata msidhurike. Wanaume acheni mara mmojaInaweza kuwa taarifa mbaya zaidi kwa wanaume wanaojihusisha na uvutaji wa sigara na angalizo kwa vijana wanaotaka kujitumbukiza kwenye kilevi hicho.
Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chuo cha Bergen unaonyesha kubwa kuna uwezekano wa kemikali zilizopo kwenye sigara kwenda kwenye mbegu za uzazi za mwanaume Na kusababisha kupata mtoto mwenye pumu.
Jopo la watafiti nchini Norway, limegundua kuwa mtoto anaweza kupata ugonjwa wa pumu kutokana na uvutaji wa sigara wa baba yake
Kwa nijibu wa ripoti hiyo kemikali hizo zinaweza kukaa mwilini kwa muda mrefu na kuleta madhara baadae kwa mtoto.
Chanzo: Daily Mail
Sinywi sivuti...starehe yangu ni ile ya halali kwa viumbe haibia unatumia?
Sigara kubwa vipi??bia unatumia?