Wanaume wavuta sigara hatarini

Hii ina ukweli kwa upande wangu,marehemu babu yangu alikuwa mtaalamu wa sonyo na fegi na ilikuwa bibi akienda sokoni asipomletea ni shidaa hapo home, matokeo baba yangu amezaliwa na matatizo ya pumu tofauti na wenzake wote ambao hawana hili tatizo. Nae akawa karithi tabia ya uvutaji kwa babu tokea ujanani alipomzaa kaka yangu wa pili nae akatoka ana pumu ikiwa watoto wake wengine wote hatuna hilo tatizo.
 
Halafu nimemaliza Tu kusoma hii thread nikawasha Sigara, sijui kwa nini!
 
Sigara sio nzuri kabisa ila kuna watu wanajifanya kama hawajui vile.
 
Ngumu mkuu! Ila natamani Sana kuacha, manake mpaka denda napewa kwa masharti now days!
Fanya jitahidi ndugu. Mpaka shemeji anakupa kiss kwa masharti.

Mimi naamini utaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…