Wanaume wawili wananihitaji kwenye mahusiano sijui ni mkubalie nani?

Wanaume wawili wananihitaji kwenye mahusiano sijui ni mkubalie nani?

Hello ushauri wenu jamani

Kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano anafanya kazi bank fulani,ni mpole ananijali siku ya kwanza ku meet tu bila kufanya chochote akanitembezea 30k tuli meet sehemu fulani ya kutulia Sio gest ni sehemu tu kwaajili ya mazungumzo after there Kila nikienda kwake lazima anitembezee hela,communication yuko vizuri ananipigia ata nisipopiga mazungumzo ni ya kunijali,

Anaishi mbali kidogo Sana na ninapoishi nauli 1000 " elfu moja" kwenda kwake,lakini future kaniambia tuendelee kuchunguzana ivyo ajapeleka barua na Wala hatambuliki kwetu sijamtambulisha kwetu hajanitambulisha kwao lakin marafiki zake wananifaham,kama mnavyojua wanawake maua wanaume wanatutongoza Kila siku katokea huyu Sasa tunafanya kazi taasisi moja anasema ananipenda Sana na ana future lakini anahitaji mda anijue zaidi, taasisi ni kubwa ivyo inaweza pita miezi Kwa miezi tusionane nifanyeje nibaki nilienae au nimsikilize uyu work mate,mana nilienae kwenye future bado naendelea kumsoma pia.na Aya ndo maongezi ya uyu mpya

View attachment 3270699
Huyu jamaa ni fala kumbe si ajitetee kivyake kwani lazima amkandie jamaa wa bank kwamba et anaweza kuwa mume wa mtu
 
Back
Top Bottom