Hahahha! Tulale wote
Khaaaa! Utalala stoo..unanitisha Bishanga..
TF mbona Miss Jux alikuwa anamsaka vile..:juggle:
aisee miye ilibidi nijifunze kupika baada ya mtu kuweka mgomo wa kupika!! "Nenda kapike mwenyewe!" macho yakanitoka kama sungura aliyekoswakoswa na gari!
Kuna na hii ya Chakacha
"huyu ndie popo, ala maembe pekee, hana kazi kunibwagia kokwa, ala maembe pekee" hahaha
Mtihani lazima tufeli baada ya kusikia nyimbo hiyo ya mchiriku 😀
so unataka kupinga ndo mana miafrika hatuendelei sasa unataka kupinga nini?
Ndomana ndoa nyingi hazidumu mtu unaona kumsaidia mkewako kupika kazi au dhambi ni ujinga tena upumbafu
ushanikera wewe mimi asubuhi yangu na nahisi siku nzima itakuwa mbaya
Hapo red, nimeongezwa mshahara ujue, we zembea tu.Leo skulazii damu.. Hata unitake nakataa.. na leo wala
hiyo lollipop staki... Nimenuna
Nyie kina baba mnakimbia watoto wenu wa kiume, wengine
mnawakana kabisa. sisi tunawatunza na kuwakuza halafu mnakuja
juu kutuponda. Please give as break ....
hehehe naikumbuka hii, kuna ka mwalimu ka kike kalikuwa matata sana. Siku moja kanatusomesha fasihi simulizi na tafsida kakaimba hii nyimbo halaf kakauliza nani amefahamu nini popo na nini maembe kwenye hii nyimbo? halaf hakasubiri mtu ajibu, kakajibu wenyewe, mapopo mmeyafunika masuruali nyie mnaojifanya vidume, looh vidume mtakuwa nyinyi! nipisheni uko! na sisi maembe yetu tumeyaficha kwenye masketi.
Tukashangaa! akajibu kijeuri , na ndo kwanza tumeanza silabas, jiandaeni
Khaaaa! Utalala stoo..
Sio uvae, ujikatie kanga 😀
Maana lazima uiweke ile sehemu iliyokatika! hahah Kiswahili raha wallah
Unatafutwa na Bishanga, kuna msg yako ameikuta kwenye simu ya Koku anataka ukamtafsirie.Khaaaa! Utalala stoo..
Kalikuwa na ratiba yake, kanaolewa pasaka halaf kanaachwa krismass, kanatafta boyfriend mpya new year. Hako ka mwalimu kalikuwa balaa sana.Hahahaha looooooooool Mwalimu kadata hahahaha .....:]]
Hiyo inaitwa warning kuwa hataki kumwagiwa kokwa na nyie, kwake nyie si wanaume! ahahha ......
Mngemwambia atume salam 😀
Halaf unaikuta kanga imeandikwa " Nimeona wengi lakini nimekuchagua wewe" (hapa inawezekana pia natuma ujumbe kwako mwalim)
Nadhani watu tunaweza kukosa mitihani hivi hivi; hili siyo suala la kupika (it is just one element). Haya tuondoe huko kupika, na kukaa jikoni. Nadhani hoja inahusu uhusiano wa malezi na mapenzi ya mama kwa mtoto wa kiume. Hoja ambayo imedokezwa ni kuwa mtoto wa kiume aliyepewa mapenzi mazuri na malezi mazuri (hatuzungumzii kudekezwa kuliko n.k - kwani si sawa na malezi mazuri) anaweza kujenga mahusiano mazuri sana anapokuwa mtu mzima hususan mahusiano yake na wanawake.
Ni sawasawa na uhusiano uliopo kati ya malezi na mapenzi ya baba kwa mtoto wa kiume na wa kike na jinsi gani inaathiri malezi na maisha ya baadaye ya watoto. Kwa mfano, mtoto wa kike ambaye hakupewa malezi mazuri na kujengwa mahusiano mazuri na baba yake anaweza vipi kuhusiana na wanaume isipokuwa in a sexual way? Baba anayemjenga binti yake kuwa confident, independent, n.k n.k anaweza kujikuta anamlea mtoto wa kike kuwa mama mzuri kwa watoto wake na mke mzuri kwa mumewe.
Sasa watu wameng'ang'ania jiko na kupika na kusahau the bigger picture: MALEZI NA MAPENZI YA MAMA KWA MTOTO WA KIUME NA JINSI INAVYOMJENGA MTOTO WA KIUME KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA UWEZO MZURI WA KULEA.
Ukiona watoto wanakanwa ujue kuna kawalakini kalitokea kabla hawajazaliwa. Kafanye DNA test tuone Kama midume itachomoa. "mama hacngiziwi mtoto"Nyinyi si ndo mnawapaka ma poda watoto wa kiume? sasa mnategemea nini? halaf mara mnawapatia lolipop, sasa wakikuwa wanaona kufyonza lolipop kunaboa wanatafta jilolipop khaaaa! mnachangia sana kuifanya jinsia yetu haf kasti.
NB: Ukilegeza sauti na ukanilembulia na macho kidogo, nitabadilisha msimamo wangu na nitakubaliana na wewe
Leo skulazii damu.. Hata unitake nakataa.. na leo wala
hiyo lollipop staki... Nimenuna
Nyie kina baba mnakimbia watoto wenu wa kiume, wengine
mnawakana kabisa. sisi tunawatunza na kuwakuza halafu mnakuja
juu kutuponda. Please give as break ....
Kamanda, kidume kikilelewa na mama ujue umeharibu jeshi, mara unaona jibaba la miaka 20 linakwenda chuo limefungiwa maandazi kwenye kikontena.
Dah! nimebip mwalim kapiga, hapa nimemkumbuka The boss na gunia la mkaahahahah au "mwanamke hulka" .....
Huo ujumbe wako ushajibiwa kama alivyojibu mwalimu wenu wa fasihi
Leo ni siku ya ukimwi duniani, umeshaenda kupima? Usisahau kujitangaza.Kalikuwa na ratiba yake, kanaolewa pasaka halaf kanaachwa krismass, kanatafta boyfriend mpya new year. Hako ka mwalimu kalikuwa balaa sana.
Umeona eeh! baeleze huyu AD, tangu aolewe na TF amekuwa na pointi za ajabu ajabu.Ukiona watoto wanakanwa ujue kuna kawalakini kalitokea kabla hawajazaliwa. Kafanye DNA test tuone Kama midume itachomoa. "mama hacngiziwi mtoto"
Sasa kumbe pilau apeleke baba?Si ndo toto la kiume linapelekewa pilau na kachumbali kila j2 lipo UDSM hapo linapelekewa pilau na mama ake
Malezi ya design hii yamechangia sana vijana kuhamia upande wa Cameron mtoto wa mama anavaa heleni anasuka nywele dah inasikitisha sana wao wakinana mama wanaita malezi ya kisasa kumpelekea mtoto wa kiume pilau chuo dah inasikitisha sana.