Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.
Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo:
Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc.

Hili likanifanya nifikirie na kwa kiasi nikaona lina ukweli.Nimeliona hilo kwa ndugu zangu wa kiume waliolelewa na mama zao bila kuwepo baba, au wale waliokuwa na baba lakini wakatii sana mafundisho ya mama zao.Wako independent zaidi, hawanaga makeke sana kwa wake zao, nk...
Hebu tupate mawazo zaidi kwa wale wenye uzoefu.
Nilikuwa sijalisoma vizuri hili li sredi asee:

Kulaaaaleki!

Hiyo red......... Mungu apitishie mbali. Heri tulelewe na baba zetu bana
Nahisi kampeni ya kuingiza mswada wa Cameroon kwenye katiba ya MMU! Na hili halikubaliki!
 
Mtaani kwetu kuna mama leo nampelekea uzi huu mtoto wa jinsia ya kiume anamvalisha nguo za kike anampiga na gauni eti la kushindia hawa akina mama kwakweli wanaangamiza jinsia ya kiume wanataka wanaume wafanya mambo ya wanawake lol.
Mpwa kuna na ile toto la kiume linaumwa na mafua mama analipakata halafu analilisha, toto lina miaka ya kupiga kura, nimeshuhudia laivu.
 
Hakuna hoja ya kuwa mwanamme asipojua kupika atachochea unyanyasaji. Correlation hapo inakaribia zero.
Hapo kwenye red nafikiri ulikuwa unataka kumaanisha "correlation coeffient" which is computed in the following manner-a measure of the strength of the linear relationship between two variables that is defined in terms of the (sample) covariance of the variables divided by their (sample) standard deviations.
Embu tufafanulie kwa "sample size gani",ambayo uliipata kwa "sampling design gani" mpaka ufikie conclusion kuwa correlation inakaribia zero???
 
Mpwa kuna na ile toto la kiume linaumwa na mafua mama analipakata halafu analilisha, toto lina miaka ya kupiga kura, nimeshuhudia laivu.

Hahaha Klorokwini bana! Mie nilijua visa hivyo huwa katika zile nyumba ambazo wanajiita "modern". Malezi ya kisasa pekee, kumbe hata Tandale yapo?
 
[h=2]Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.Kweli?[/h]
Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.
Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo:
Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc.

Hili likanifanya nifikirie na kwa kiasi nikaona lina ukweli.Nimeliona hilo kwa ndugu zangu wa kiume waliolelewa na mama zao bila kuwepo baba, au wale waliokuwa na baba lakini wakatii sana mafundisho ya mama zao.Wako independent zaidi, hawanaga makeke sana kwa wake zao, nk...
Hebu tupate mawazo zaidi kwa wale wenye uzoefu.

Mzee Mwanakijiji, SMU, Fidel80 and 6 others like this.

Thought is the sculptor who can create the person you want to be.

Kuna ukweli ndani yake ingawa sio wote halafu sio tu waliolelewa na mama zao tu bila kuwepo baba bali hata wale waliolelewa na wazazi wote wawili lakini unakuta mama alikuwa anajitahidi sana kuwa karibu nao na kuwapa malezi na wakatii mafundisho ya mama zao kwahiyo kwenye suala hili kiasi fulani kama asilimia 70 hivi nakubaliana na wewe.
Kwa kiasi fulani ni ukweli, tuseme wale waliolelewa na wazazi wazuri wote wana maadili mazuri!!!!!! Mama ni mlezi mzuri na Baba naye ana upande wake, mtoto aliye na bahati ya malezi ya pande zote atafaidi zaidi!!!!!!!!Ndio maana inatakiwa watu tuheshimu ndoa zetu ili tuweze kuwapa watoto wetu mwongozo mzuri katika maisha yao!!!!!!!! Wanandoa kabla ya kufanya uamuzi wowote tufikilie kwanza madhara kwa watoto, tusiwe wabinafsi tuwapende watoto tuwalinde!!!!!!!Ahsante kwa hayo mawazo. Ubarikiwe!!!!

Hapo kwenye red nafikiri ulikuwa unataka kumaanisha "correlation coeffient" which is computed in the following manner-a measure of the strength of the linear relationship between two variables that is defined in terms of the (sample) covariance of the variables divided by their (sample) standard deviations.
Embu tufafanulie kwa "sample size gani",ambayo uliipata kwa "sampling design gani" mpaka ufikie conclusion kuwa correlation inakaribia zero???
Enhee mwalim gaijin tunaomba umjibu greti thinka gathii, halaf jamaa kaibuka bila umaarufu. Hii ndo JF bana
 
Back
Top Bottom