klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Hapo red ndio wimbo wa taifa wao kinamama, mtoto wa kiume haambiwi pole bana, wa kiume anaambiwa komaa. mmeelewa wamama wa JF?Hahahaha nimeshuhudia sana alafu mama analibembeleza utasikia mm ugali sitaki nataka chipsi kuku mama utasikia pole mwanangu utakula tu.