Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nilikuwa sijalisoma vizuri hili li sredi asee:Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.
Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo:
Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc.
Hili likanifanya nifikirie na kwa kiasi nikaona lina ukweli.Nimeliona hilo kwa ndugu zangu wa kiume waliolelewa na mama zao bila kuwepo baba, au wale waliokuwa na baba lakini wakatii sana mafundisho ya mama zao.Wako independent zaidi, hawanaga makeke sana kwa wake zao, nk...
Hebu tupate mawazo zaidi kwa wale wenye uzoefu.
Kulaaaaleki!
Hiyo red......... Mungu apitishie mbali. Heri tulelewe na baba zetu bana
Nahisi kampeni ya kuingiza mswada wa Cameroon kwenye katiba ya MMU! Na hili halikubaliki!