“Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” kwa nini !

“Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” kwa nini !

Mada nzuri hii mkuu...

Kila mwanamke anapenda mwanaume mzuri ila basi tu mpaka tupigwe matukio weeee 🤣🤣🤣😆 ndio tunaelewa lol

..mwanaume mzurI sijui unamaanisha kind, huwa tunawaona wana lack confidence to lead, na tunadhani their kindness means wana seek approval yetu, au ni njia ya ku mask their insecurities, both ni undesirable qualities..

Niliona mahali tukiwa kwenye heat period (ovulation) tunapenda tall men 😆 🤣
 
mapenzi hayana muongozo maalumu
ulichoandika hapa kwa wengine ni vise versa
 
Penye wanaume wanafel wanaoa mke ambaye sio kitengo chake hauna maisha alafu unaoa pisi kali hapo umefel tafuta ela kwanza
 
Mwanaume ukijiona mzuri ujue we ni shoga
 
Back
Top Bottom