Wanaume Wema na Watiifu katika Mahusiano yao ndiyo huteswa zaidi Kimapenzi na Wanawake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano.

Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili nisiteswe na kwakweli Wananikoma.
 
Wote tu, ukiwa good girl good man jiandae kupigwa tukio za kila rangi......
 
Ni kweli kabisa,mwanamke akishaona anakumudu atakupelekesha sana!
Kuna Wawili Watatu walijaribu hivyo kwa Mzanaki na Myao Mimi na kilichowapata hadi leo wananiita Mafia na Gaidi.
 
Hakuna kitu sikipendi, sikitaki na kamwe sitokuja Kukiruhusu nikiwa na Mke / Demu kama atake kunipanda Kichwani.
Ngojaa tuonee endapo ukikutana na yule atakayekufikishaa masikio kusikia kizungu zunguu ,mbona Hadi Pichu zake utafua sana na utaona poa tu mkuu 😅😅😅🏃
 
Nimecheka sana Mkuu.
 
Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano.

Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili nisiteswe na kwakweli Wananikoma.
Hii kweli mkuu, ukishakuwa mpole na mwema jiandae kunyooshwa.

Binafsi limenikuta hilo, nilimlea mke wangu kizungu.. mwisho wa siku kanipiga na kitu kizito na taraka juu
 
Back
Top Bottom