GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna kitu sikipendi, sikitaki na kamwe sitokuja Kukiruhusu nikiwa na Mke / Demu kama atake kunipanda Kichwani.Kwa hyo mkuu unaungana na cc wazee ...
KATAA NDOAA
Hakika Mkuu. Nina Rafiki yangu Mmoja tukiwa nae Maskani ni Mjanja ila akirudi kwa Mkewe anakiona cha Moto sana.Huo ni ukweli mtupu
Kuna Wawili Watatu walijaribu hivyo kwa Mzanaki na Myao Mimi na kilichowapata hadi leo wananiita Mafia na Gaidi.Ni kweli kabisa,mwanamke akishaona anakumudu atakupelekesha sana!
Ngojaa tuonee endapo ukikutana na yule atakayekufikishaa masikio kusikia kizungu zunguu ,mbona Hadi Pichu zake utafua sana na utaona poa tu mkuu π π π πHakuna kitu sikipendi, sikitaki na kamwe sitokuja Kukiruhusu nikiwa na Mke / Demu kama atake kunipanda Kichwani.
Namkubali sana. Hivi ni Mtoto wa Profesa Sarungi na Kaka yake Dada Maria Sarungi au?Kipindi kipo jumapili saa 4 usiku na yule mchambuzi yuko vizuri sana
Nimecheka sana Mkuu.Ngojaa tuonee endapo ukikutana na yule atakayekufikishaa masikio kusikia kizungu zunguu ,mbona Hadi Pichu zake utafua sana na utaona poa tu mkuu π π π π
Hii kweli mkuu, ukishakuwa mpole na mwema jiandae kunyooshwa.Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano.
Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili nisiteswe na kwakweli Wananikoma.
Sijajua mkuu mi uwa namfatilia tu kwenye kipindi chake na namkubali sana maana anajua vitu vingiNamkubali sana. Hivi ni Mtoto wa Profesa Sarungi na Kaka yake Dada Maria Sarungi au?